Mhubiri wa kiislamu alienda wapi? Tuliambiwa kwa mkapa hapatosha

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Amani kwenu

Salamaleko

Yule mhubiri wa kiislamu kaishia wapi

Mbona simsikii je kwa mkapa alieenda?

Na walihudhulia watu wangapi

Mbona hatupean update

LONDON BOY
 
Kasema Mtume (s.a.w) “Anamwijia mmoja wenu shetani katika sala, basi anapuliza (anampuliza) katika matako yake, basi yule mtu inamwijia fikiria ya kuwa umemtoka upepo (kajamba) nae haukumtoka, basi akiona hali hiyo asiondoke kwenye sala mpaka asikie sauti ya kumtoka huo upepo au anuse harufu yake”. (KITABU CHA MKWELI MWAMIU, JUZUU YA 1 -2 HADITHI NA. 74, UK 42)
 
🤣🤣🤣🤣
 
Mzee umenichekesha kwenye daladala hapa daaah
 
Back
Top Bottom