Mhubiri wa kimataifa, Nabii Shepherd Bushiri atabiri Tanzania kuongoza nchi za Afrika kwa ugunduzi wa teknolojia

Yesu mwenyewe atawapa kipigo acha waendelee kupiga njuru watahukumiwa kwa haki siku ya mwisho.
 
Alishasema Mzee wetu mmoja atakufa na bado anadunda tu, na kwa nguvu ya mwenyezi MUNGU ataendelea kudunda, sina hamu naye huyu. Pia angalia hii FAKE MIRACLE ==> . Jamaa wanatupiga sanaaa hasa wadada.

Hata hivyo UTABIRI WAKE UNAKARIBISHWA SANA
Alitabiri watu wasiojulikana, kudumaa kwa uchumi
 
Yuko sahihi mimi mwenyewe kuna kitu Niko mbioni kumalizia ugunduzi wangu ambacho kitaifanya Tanzania ing'are Na kujulikana sana sana kimataifa.Watanzania tukiamua tunaweza.Cha kwangu ni kimoja kitakachoipaisha Tanzania anga za kimataifa
Mola aendelee kukubariki walahi
 
Hivi akifa wafuasi wake wataenda kwa nani awe mchungaji wao
 
With Almighty One speed walahi!
 
Sipingani na mawazo yako ila kwanza ungesoma ulichokiandika(kwenye post yako hii) kisha ukakielewa ni kuwa umesema umewaza nje ya vitabu vya wazungu halafu unataka kutumia knowledge na vipimo vya wazungu kufanya uvumbuzi wako? Kivipi?
Sikai mbali akitoa jibu nitag.
 
Hivi akifa wafuasi wake wataenda kwa nani awe mchungaji wao
Mungu aliyawaonyesha waende kwake atawawaonyesha pa kwenda.It is non of your Business Yesu alikufa hakuanzisha kanisa enzi zake watu walikuwa wakisali kwenye masunagogi ya kiyahudi alipokufa Mungu aliwaonyesha wafuasi wa Kristo wakasali wapi.That is not a big deal.Yesu hakuanzisha kanisa katoliki Wala Anglican,wala Roman Wala Assemblies of God Wala pentecost baada ya kufa Bila kuanzisha kanisa Mungu aliwaelekeza wafuasi wa Yesu waende wapi.Usiwe Na wasiwasi afe mwingira,kakobe,mama rwakatare,gwajima,mzee wa upako,nabii Bushiri ,Mwamposya,Geor Davie,nk Wafuasi wao Mungu anajua pa kuwapeleka sio kazi yako wewe sababu hukuwapeleka huko waliko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…