Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yesu mwenyewe atawapa kipigo acha waendelee kupiga njuru watahukumiwa kwa haki siku ya mwisho.Hawa watu ni matapeli. Neno la Mungu wamelibadili na wanaligeuza geuza ili kuvutia watu. Na wakipata watu wanajua wanapata fedha zaidi. Japokuwa naamini katika Mungu na nataka sana binadamu tuabudu lakini watu wa sampuli hii wangekuwa wanapigwa marufuku kufanya utapeli wao.
Alitabiri watu wasiojulikana, kudumaa kwa uchumiAlishasema Mzee wetu mmoja atakufa na bado anadunda tu, na kwa nguvu ya mwenyezi MUNGU ataendelea kudunda, sina hamu naye huyu. Pia angalia hii FAKE MIRACLE ==> . Jamaa wanatupiga sanaaa hasa wadada.
Hata hivyo UTABIRI WAKE UNAKARIBISHWA SANA
Mwenzako ana gulf stream... 😉😉😊Toka ile scandal yake ya kuwala waumini wake alinitoka kabisa
Mola aendelee kukubariki walahiYuko sahihi mimi mwenyewe kuna kitu Niko mbioni kumalizia ugunduzi wangu ambacho kitaifanya Tanzania ing'are Na kujulikana sana sana kimataifa.Watanzania tukiamua tunaweza.Cha kwangu ni kimoja kitakachoipaisha Tanzania anga za kimataifa
Huyu naye atuondolee uchawi wake hapa
Huyo akigundua kitu nastaafu kwa hiari na sitasomesha watoto nakua nasubiri muujiza tu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani na wewe unafanya ugunduzi? Daaah this is very funny.
Kwako na familia yako tu milele yote walahi!Miaka 7??
JIWE pale Magogoni
Awam ya kwanza 2018-2025 = 7
Awam ya pili....YAJAYO YANASIKITISHA SANA..
Jinga hilo Achana naloUchawi upi huo ? Kati ya vijana waliofanikiwa africa kifedha na kibiashara ni huyo.
Jinga hilo Achana nalo
Sikai mbali akitoa jibu nitag.Sipingani na mawazo yako ila kwanza ungesoma ulichokiandika(kwenye post yako hii) kisha ukakielewa ni kuwa umesema umewaza nje ya vitabu vya wazungu halafu unataka kutumia knowledge na vipimo vya wazungu kufanya uvumbuzi wako? Kivipi?
Mungu aliyawaonyesha waende kwake atawawaonyesha pa kwenda.It is non of your Business Yesu alikufa hakuanzisha kanisa enzi zake watu walikuwa wakisali kwenye masunagogi ya kiyahudi alipokufa Mungu aliwaonyesha wafuasi wa Kristo wakasali wapi.That is not a big deal.Yesu hakuanzisha kanisa katoliki Wala Anglican,wala Roman Wala Assemblies of God Wala pentecost baada ya kufa Bila kuanzisha kanisa Mungu aliwaelekeza wafuasi wa Yesu waende wapi.Usiwe Na wasiwasi afe mwingira,kakobe,mama rwakatare,gwajima,mzee wa upako,nabii Bushiri ,Mwamposya,Geor Davie,nk Wafuasi wao Mungu anajua pa kuwapeleka sio kazi yako wewe sababu hukuwapeleka huko walikoHivi akifa wafuasi wake wataenda kwa nani awe mchungaji wao