Mhubiri wa kimataifa, Nabii Shepherd Bushiri atabiri Tanzania kuongoza nchi za Afrika kwa ugunduzi wa teknolojia

Mhubiri wa kimataifa, Nabii Shepherd Bushiri atabiri Tanzania kuongoza nchi za Afrika kwa ugunduzi wa teknolojia

Mhubiri wa kimataifa, Nabii Mkuu Prophet Shepherd Bushiri anayeongoza Kanisa la Enlighted Christian Gathering (ECG) la Afrika Kusini, ametabiri maajabu yatakayoishangaza dunia katika miaka saba ijayo kuanzia sasa, kwa Tanzania kuongoza nchi za Afrika kwa ugunduzi wa teknolojia.

Nabii Bushiri maarufu zaidi kama Major 1, pia amesema katika kipindi hicho, kutatokea ugunduzi katika nchi ya Tanzania kwa vijana wadogo kugundua vitu vingi vya kisayansi, kwa vile mkono wa Mungu uko juu ya nchi yao na nchi yao itaendelea kuimarika zaidi na Zaidi.

Nabii Bushiri yupo mkoani Kilimanjaro katika mkutano wa Kimataifa wa siku tatu unaofanyika katika viwanja vya Ushirika.

Nipashe
Over my dead body!!! Kenya washarusha satellite lakini hawajaweka ije kuwa hapa kwenye resources chache? Hapo south afrika tu wagunduzi wachache
 
Yuko sahihi mimi mwenyewe kuna kitu Niko mbioni kumalizia ugunduzi wangu ambacho kitaifanya Tanzania ing'are Na kujulikana sana sana kimataifa.Watanzania tukiamua tunaweza.Cha kwangu ni kimoja kitakachoipaisha Tanzania anga za kimataifa
Kama ni time machine sawa ila hakuna kipya mkuu!
 
Shenzi type
 
Toka ile scandal yake ya kuwala waumini wake alinitoka kabisa
Hawa watu ni matapeli. Neno la Mungu wamelibadili na wanaligeuza geuza ili kuvutia watu. Na wakipata watu wanajua wanapata fedha zaidi. Japokuwa naamini katika Mungu na nataka sana binadamu tuabudu lakini watu wa sampuli hii wangekuwa wanapigwa marufuku kufanya utapeli wao.
 
Yuko sahihi mimi mwenyewe kuna kitu Niko mbioni kumalizia ugunduzi wangu ambacho kitaifanya Tanzania ing'are Na kujulikana sana sana kimataifa.Watanzania tukiamua tunaweza.Cha kwangu ni kimoja kitakachoipaisha Tanzania anga za kimataifa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani na wewe unafanya ugunduzi? Daaah this is very funny.
 
Hahah mi mwenyewe hayo mambo siyaelewagi mkuu.
Unatakiwa usome mkuu kama una hamu ya ku mfanya forex download telegram halafu search hili jina hapa
(Forex trading tanzania) itakuja chennel yenye picha nyeupe sasa hapo ni ww tu kui follow kale msuli weee ukiridhika trade
 
Alishasema Mzee wetu mmoja atakufa na bado anadunda tu, na kwa nguvu ya mwenyezi MUNGU ataendelea kudunda, sina hamu naye huyu. Pia angalia hii FAKE MIRACLE ==> . Jamaa wanatupiga sanaaa hasa wadada.

Hata hivyo UTABIRI WAKE UNAKARIBISHWA SANA
[emoji23] [emoji23] nimeona mkuu inamaana watu hawajui kutumia ipad au? Dah! Kweli waafrika sisi bado sana
 
Kama ni time machine sawa ila hakuna kipya mkuu!
Unaota wewe upe nafasi ubongo wako kuwaza nje ya vitabu vya Wazungu ulivyosoma . Mimi nimeupa ubongo kuwaza nje ya text books zote nilizosoma nimegundua kitu.Wewe kaa Na mi knowledge ya text books kama utakuja gundua kitu utaishia tu Ku quote Na Ku cite mawazo ya wengine .Tupo watanzania tumejipanga.Wewe zubaa hapo hapo uje utu quote Na kutu cite mawazo yetu tukishagundua.Hivi huoni haya wewe kutwa Ku quote Na Ku cite mawazo ya wengine Na walivyogundua? Poor you.Huna chako cha kuwa quoted Na kuwa cited?
 
Back
Top Bottom