Doyi
JF-Expert Member
- Dec 4, 2011
- 1,578
- 1,894
Habari wana jf
kuna mtu anahtaj muhudumu(msichana) wa pub na fastfood haraka sana. Eneo iliyopo hyo fastfood na pub ni victoria karibu na hospitali ya kairuki.Vigezo vya mlengwa awe na physical appearance nzuri,mzoefu wa kazi,umri asizid miaka 25.Kuhusu chakula na nauli ni juu ya mwajiri,mshahara ni makubaliano.Kwa mawasiliano mpigie muhusika 0713-748149.Kama kuna maswali yoyote muulizen muhusika namba nimetoa.Mimi ni mjumbe tu na mjumbe harushiwi mawe.Asanteni wadau.