Mhudumu wa Safaricom atuzwa kwa utu wake !

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
24,941
Reaction score
28,869
October 27, 2016
Nakuru, Kenya

Mhudumu wa Safaricom atuzwa kwa utu wake !

Ms Pauline Muganda Shamola had trained as an air hostess, a field she worked in for a while before joining Safaricom as a customer service officer.

She says she felt humbled by the congratulatory messages she received after the video of her helping a crippled beggar went viral on social media.

Mr William Kisumo, a beggar from Tanzania too was grateful of her gesture.

He had gone to the Safaricom in Nakuru shop to buy and register a line to enable him send money back home.

He said he was a trained shoemaker and had an ailing child back in Tanzania forcing him to travel to Kenya to seek alms.

Source: DailyNations
 
Naona leo utalala kwa raaaaaha!!?
Kweli maskini akipata matako hulia mbwata.
 
Ni bora pia Watanzania wakafahamu kwamba ametuzwa kwa kumhudumia omba omba wa kutokea Tanzania. Inafaa kufikia hapo iwe imeeleweka kwanini Wakenya tumetajwa kuwa wakarimu. Omba omba Watanzania waliojaa huku tunawasaidia na kuwahudumia bila ubaguzi wala nini.
 
pauline8.jpg
 
maneno yako yanakejeli ndani yake
 
Tayari najiTEKENYA nkinyonga mse!!

Mtaisoma hii mwaka ...

Sina time ya kujamia waTZ usiku wa leo juu ngoma ya Diamond inaniingia sambamba at this particular time!!
aisee si uongee kijaluo tuu, kwan umelazimishwa kiswahili
 
Ndugu yangu una maana hawa Wakenya wengi wallopo hapa Tanzania wamekuja kutafuta maisha huku kwa kuwa huko kwao mambo ni magumu? Ndio maana yako hiyo?
 
Ni bora pia Watanzania wakafahamu kwamba ametuzwa kwa kumhudumia omba omba wa kutokea Tanzania. Inafaa kufikia hapo iwe imeeleweka kwanini Wakenya tumetajwa kuwa wakarimu. Omba omba Watanzania waliojaa huku tunawasaidia na kuwahudumia bila ubaguzi wala nini.

Kwani Safari... wanatoa alivyohitaji bure? umeona alienda kuwa alienda kuomba omba na kuwa hautaki kukubali kwamba ana kazi yake?

Hata wakenya wapo wanao omba omba, hii ni kila mahala duniani.

Acha roho ngumu kusema watu, kama vile ni furaha kwako kuona wapo hivyo.
 
Najua Kingereza huwa kinawapa matatizo, bora mleta mada angewatafsiria, haya omba mtu akutafsirie maana ya hii sentensi "Mr William Kisumo, a beggar from Tanzania too was grateful of her gesture."
 
Hongera wewe kwa kujua kiingereza, hara Raisi wa Kenya leo kaongea lugha yetu vizuri sana na kwa tabasamu teleeee.

Sitaki kujua omba omba kwa kiingereza ni nini, ipo kwenye hiyo sentensi uliyoi quote?
 
Najua Kingereza huwa kinawapa matatizo, bora mleta mada angewatafsiria, haya omba mtu akutafsirie maana ya hii sentensi "Mr William Kisumo, a beggar from Tanzania too was grateful of her gesture."

Nijibu je alienda kuombaomba yaani Safaricom au alilipa kwa aliyotaka, kama alitakiwa?

Nimekusoma humu kwa muda sasa, nimekuona kuwa furaha yako humu ni kuwa kuna vitu unapungukiwa maishani. Na Tanzania ni unaionea kwa forum hii. May be hata ile kazi uliipata ya kukaa barabarani, uliondoshwa kwa kukosa kibali cha kuomba omba barabarani. Kwa reason hii unapenda kuponda sababu maumivu bado ya kutoweza kuishi Tanzania hayakutoki. fluke

n.b. video nimeiona vizuri, kabla ya kuandika humu. ukipata msaada wa wi-fi utaangalia.
 
Wtz na kingereza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kaka, huko unakokwenda siko, kwaheri sitajishusha hadhi hadi hapo ulipo.
 
Ni bora pia Watanzania wakafahamu kwamba ametuzwa kwa kumhudumia omba omba wa kutokea Tanzania. Inafaa kufikia hapo iwe imeeleweka kwanini Wakenya tumetajwa kuwa wakarimu. Omba omba Watanzania waliojaa huku tunawasaidia na kuwahudumia bila ubaguzi wala nini.
Hapo sio msaada bali alitumia hela yake kununua line
 
kila siku humu tunasema wazungusha bakuli kutoka tanzania wamejazana kwenye streets za Kenya ajabu, alafu kila siku humu mnajifariji kwa kusema wakenya wana roho chafu.
 
Back
Top Bottom