Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I wish to know namna ombaomba alivyovuka mpaka kwenda Kenya...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uko na joki wewe sioSio mmoja, wawili ama mia mkuu, ni maelfu. wametapakaa toka Nairobi hadi Eldoret, wanasema manyangau wanapenda kusaidia sana ndiposa wamesafiri kuja Kenya kuchuma, sijui hii visa ya pamoja ikiruhusiwa watahamishwa wote kenya ama kutaendaje... wanakaribishwa tu, Kenya hakuna matata.
Hahaha Mk bana hujasikia kuna sehemu Pauline anasema alifurahi sana jinsi Mzee Kisumo alivyo msemesha ,"Samahani Mwanangu" hiyo lugha nyie hamna ndio maana Pauline akaona ni miujiza alishangazwa ukarimu wetu Watz hivyo msee uache maneno mengiNi bora pia Watanzania wakafahamu kwamba ametuzwa kwa kumhudumia omba omba wa kutokea Tanzania. Inafaa kufikia hapo iwe imeeleweka kwanini Wakenya tumetajwa kuwa wakarimu. Omba omba Watanzania waliojaa huku tunawasaidia na kuwahudumia bila ubaguzi wala nini.