Oroka msoro
JF-Expert Member
- Dec 24, 2022
- 569
- 435
Kizazi Cha zinaa katika ubora wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi hapo kwa Mauki au? [emoji1787]Karibu msamala hapa.
Nini mantiki ya huu uzi , au umelenga kusema nini...Nilifika Songea nikaaa bar moja inaitwa Serengeti, mhudumu aliyekuwa ananuhudumia nikamuona anazungumza na dada moja mzuri sana. Yaani mzuri elewa hivyo.
Nikamuita nikamwambia yule dada uliyekuwa unazungumza nae nimemuelewa niitie, akasema yule ni mdogo wake mtoto wa baba yake mdogo ni mwalimu. Ila sahizi anarudi kwake alipita tu kunisalimia. Nikamwambia namtaka na wakati hup alishaondoka, akasema ngoja nimpigie, lakini simu yangu haina vocha.
Nikampunguzia 5000, akajiunga akampigia wakaongea sana, baadae akaja kuniambia kaelewa lakini hadi amalize kupiga ndo atakuja.
Nikamwambia asipige aje ale hapa. Akaelewa.
Kosa nililofanya ni kumuambia chukua bia unywe, mimi huwa naagiza bia mbilimbi ndo utaratibu wangu, kumbe na yeye akawa anafanya hivyo hivyo akiwa na wahudumu wenzake watatu.
Basi yule mwalimu akaja tukanywa tukala, sasa wakati naletewa bili ili niondoke na bibiye nashangaa inasoma bia 36. Nikauliza vipi mimi nimekunywa nane na konyagi ndogo moja na mwalimu kanywa maji tu.
Akasema si nilimwambia anywe hivyo na yeye akawa anaagiza mbilimbili na wenzie watatu. Nikacheka tu, nikalipa nikaondoka na mwalimu tukafanya yetu, asubuhi nikaenda Mbinga kufanya lililonipeleka.
Wakati narudi nikapita tena Songea na nikaonana tena na teacher.
Nimerudi naendelea kuwasiliana na teacher, kasema mwezi wa tatu atakuja Dar kumsalimia mama yake mdogo.
Shit holeHivi sisi ni developed countries au
Donor country kama mwenda zake alivyokuwa anasema... Twende tu kepten tutafikaHivi sisi ni developed countries au
Nahisi hivyo maana umejaa mambo ya kikubwa ungali mbichi sana.Huu mwaka utakua mrefu sana
Tupo mwezi wa pili bado miezi 10 tuu[emoji23][emoji23][emoji23]Huu mwaka utakua mrefu sana
Hivi sisi ni developed countries au
Sisi ni idiot CountyHivi sisi ni developed countries au