Namshakende
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 671
- 1,644
Next time njoo 24 plus Mbinga, kuna Wanyasa wana matcle kama Asha ngedere.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba namba ya simu ya huyo teacher, hakufai mkuu, niamini mimi.Nilifika Songea nikaaa bar moja inaitwa Serengeti, mhudumu aliyekuwa ananuhudumia nikamuona anazungumza na dada moja mzuri sana. Yaani mzuri elewa hivyo.
Nikamuita nikamwambia yule dada uliyekuwa unazungumza nae nimemuelewa niitie, akasema yule ni mdogo wake mtoto wa baba yake mdogo ni mwalimu. Ila sahizi anarudi kwake alipita tu kunisalimia. Nikamwambia namtaka na wakati huo alishaondoka, akasema ngoja nimpigie, lakini simu yangu haina vocha.
Nikampunguzia 5000, akajiunga akampigia wakaongea sana, baadae akaja kuniambia kaelewa lakini hadi amalize kupiga ndo atakuja.
Nikamwambia asipige aje ale hapa. Akaelewa.
Kosa nililofanya ni kumuambia chukua bia unywe, mimi huwa naagiza bia mbilimbi ndo utaratibu wangu, kumbe na yeye akawa anafanya hivyo hivyo akiwa na wahudumu wenzake watatu.
Basi yule mwalimu akaja tukanywa tukala, sasa wakati naletewa bili ili niondoke na bibiye nashangaa inasoma bia 36. Nikauliza vipi mimi nimekunywa nane na konyagi ndogo moja na mwalimu kanywa maji tu.
Akasema si nilimwambia anywe hivyo na yeye akawa anaagiza mbilimbili na wenzie watatu. Nikacheka tu, nikalipa nikaondoka na mwalimu tukafanya yetu, asubuhi nikaenda Mbinga kufanya lililonipeleka.
Wakati narudi nikapita tena Songea na nikaonana tena na teacher.
Nimerudi naendelea kuwasiliana na teacher, kasema mwezi wa tatu atakuja Dar kumsalimia mama yake mdogo.
Ipo sehemu ganj???Next time njoo 24 plus Mbinga, kuna Wanyasa wana matcle kama Asha ngedere.
Nilifika Songea nikaaa bar moja inaitwa Serengeti, mhudumu aliyekuwa ananuhudumia nikamuona anazungumza na dada moja mzuri sana. Yaani mzuri elewa hivyo.
Nikamuita nikamwambia yule dada uliyekuwa unazungumza nae nimemuelewa niitie, akasema yule ni mdogo wake mtoto wa baba yake mdogo ni mwalimu. Ila sahizi anarudi kwake alipita tu kunisalimia. Nikamwambia namtaka na wakati huo alishaondoka, akasema ngoja nimpigie, lakini simu yangu haina vocha.
Nikampunguzia 5000, akajiunga akampigia wakaongea sana, baadae akaja kuniambia kaelewa lakini hadi amalize kupika ndo atakuja.
Nikamwambia asipike aje ale hapa. Akaelewa.
Kosa nililofanya ni kumuambia chukua bia unywe, mimi huwa naagiza bia mbilimbili ndo utaratibu wangu, kumbe na yeye akawa anafanya hivyo hivyo akiwa na wahudumu wenzake watatu.
Basi yule mwalimu akaja tukanywa tukala, sasa wakati naletewa bili ili niondoke na bibiye nashangaa inasoma bia 36. Nikauliza vipi mimi nimekunywa nane na konyagi ndogo moja na mwalimu kanywa maji tu.
Akasema si nilimwambia anywe hivyo na yeye akawa anaagiza mbilimbili na wenzie watatu. Nikacheka tu, nikalipa nikaondoka na mwalimu tukafanya yetu, asubuhi nikaenda Mbinga kufanya lililonipeleka.
Wakati narudi nikapita tena Songea na nikaonana tena na teacher.
Nimerudi naendelea kuwasiliana na teacher, kasema mwezi wa tatu atakuja Dar kumsalimia mama yake mdogo.
Muhudumu wa Bar inayoitwa Serengeti iliyopo Songea mkoani Ruvuma
Mitaa ya Making'inda ama vp mzeeKaribu msamala hapa.
Hahahaha boss mla teacher wa primaryLengo la uzi....MUhudumu amejinywea bia na rafiki zake bila ruhusa ya boss mla teacher😆
Ni kuhusu bia siyo?Iga wasukuma.Penda sifa.Nunua kwa fujo mara nyingine.Nilifika Songea nikaaa bar moja inaitwa Serengeti, mhudumu aliyekuwa ananuhudumia nikamuona anazungumza na dada moja mzuri sana. Yaani mzuri elewa hivyo.
Nikamuita nikamwambia yule dada uliyekuwa unazungumza nae nimemuelewa niitie, akasema yule ni mdogo wake mtoto wa baba yake mdogo ni mwalimu. Ila sahizi anarudi kwake alipita tu kunisalimia. Nikamwambia namtaka na wakati huo alishaondoka, akasema ngoja nimpigie, lakini simu yangu haina vocha.
Nikampunguzia 5000, akajiunga akampigia wakaongea sana, baadae akaja kuniambia kaelewa lakini hadi amalize kupika ndo atakuja.
Nikamwambia asipike aje ale hapa. Akaelewa.
Kosa nililofanya ni kumuambia chukua bia unywe, mimi huwa naagiza bia mbilimbili ndo utaratibu wangu, kumbe na yeye akawa anafanya hivyo hivyo akiwa na wahudumu wenzake watatu.
Basi yule mwalimu akaja tukanywa tukala, sasa wakati naletewa bili ili niondoke na bibiye nashangaa inasoma bia 36. Nikauliza vipi mimi nimekunywa nane na konyagi ndogo moja na mwalimu kanywa maji tu.
Akasema si nilimwambia anywe hivyo na yeye akawa anaagiza mbilimbili na wenzie watatu. Nikacheka tu, nikalipa nikaondoka na mwalimu tukafanya yetu, asubuhi nikaenda Mbinga kufanya lililonipeleka.
Wakati narudi nikapita tena Songea na nikaonana tena na teacher.
Nimerudi naendelea kuwasiliana na teacher, kasema mwezi wa tatu atakuja Dar kumsalimia mama yake mdogo.
Mlango wa kutokea Stendi, opposite na kituo cha polisi.Ipo sehemu ganj???
Najua ilikuwa inavuma Eagles pale Kuna ufirauni hatari,
Kwasasa ni njombe bar iliyopo maeneo ya sokoni,
Watu ambao ruti yenu ndefu ya kusafiri ni Mbagala to Kawe mna shida sana. Bado akili yenu imefungwa hapo ulipo unadhan Tanzania mwisho wake ni Kibamba🤣🤣🤣SONGEA KUNA BAR AU KIOSK??
Kwa kifupi tutatumia miaka kama mitatu hivi ndani ya mwaka huu tu kwa jinsi utakavyochelewa kumalizika.Huu mwaka utakua mrefu sana
Nilifika Songea nikaaa bar moja inaitwa Serengeti, mhudumu aliyekuwa ananuhudumia nikamuona anazungumza na dada moja mzuri sana. Yaani mzuri elewa hivyo.
Nikamuita nikamwambia yule dada uliyekuwa unazungumza nae nimemuelewa niitie, akasema yule ni mdogo wake mtoto wa baba yake mdogo ni mwalimu. Ila sahizi anarudi kwake alipita tu kunisalimia. Nikamwambia namtaka na wakati huo alishaondoka, akasema ngoja nimpigie, lakini simu yangu haina vocha.
Nikampunguzia 5000, akajiunga akampigia wakaongea sana, baadae akaja kuniambia kaelewa lakini hadi amalize kupika ndo atakuja.
Nikamwambia asipike aje ale hapa. Akaelewa.
Kosa nililofanya ni kumuambia chukua bia unywe, mimi huwa naagiza bia mbilimbili ndo utaratibu wangu, kumbe na yeye akawa anafanya hivyo hivyo akiwa na wahudumu wenzake watatu.
Basi yule mwalimu akaja tukanywa tukala, sasa wakati naletewa bili ili niondoke na bibiye nashangaa inasoma bia 36. Nikauliza vipi mimi nimekunywa nane na konyagi ndogo moja na mwalimu kanywa maji tu.
Akasema si nilimwambia anywe hivyo na yeye akawa anaagiza mbilimbili na wenzie watatu. Nikacheka tu, nikalipa nikaondoka na mwalimu tukafanya yetu, asubuhi nikaenda Mbinga kufanya lililonipeleka.
Wakati narudi nikapita tena Songea na nikaonana tena na teacher.
Nimerudi naendelea kuwasiliana na teacher, kasema mwezi wa tatu atakuja Dar kumsalimia mama yake mdogo.
Oooh karibu na Eagle,Mlango wa kutokea Stendi, opposite na kituo cha polisi.
Watu wa dar sijui wapoje??Watu ambao ruti yenu ndefu ya kusafiri ni Mbagala to Kawe mna shida sana. Bado akili yenu imefungwa hapo ulipo unadhan Tanzania mwisho wake ni Kibamba[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Amua siku moja nenda LINDI kuna MASHUJAA PUB iko ufukwen pale karibu na Magereza ni kali kuliko hizo za Dar sjui Kitambaa cheupe.
Pitiliza nenda hadi MTWARA kale bata zako pale LEOPARD LOUNGE ni patamu zaidi ya Liquid na The Great.
Pita Masasi, Tunduru zama SONGEA mdogo wangu Tanzania ni kubwa na yenye mandhari nzuri mnooo.
Hapo songea zama LA CHARLS utasahau vurugu zooote za Sinza yaani pale utapata kile unataka.
Sasa Viosk unavyosema labda vipo huko kwenu Buzza lkn Songea kuchele mkuuu
Alilipa bia za alufu salasini na sita ujue?Proudly, you have shared this nonsense? Inabidi tukae kikao kama nchi tujadili tumekosea wapi!