pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Hiyo ni shule ya msingi ya Maili Kumi, kule halmashauri ya Mtwara vijijini. Ikikuuma sana mtafute mwalimu mkuu wa shule hiyo, atakueleza mengi zaidi. 😎Weka uthibitisho, acha kuleta siasa hapa
Kizzy Wizzy, ndio hizi habari zingine zaidi, sema ni photoshop! [emoji1]Inaitwa self denial. Na Hapa ni wapi mzee. Labda konyagi itakua imeshuka utasoma vizuri!!
View attachment 1093750
Hatua zichukuliwe sasa kuokoa shule za sekondari za serikali | FikraPevu
FikraPevu
Matatizo lukuki yanayoikabili sekta hii ya elimu yamechangia kwa kiasi kikubwa shule za serikali kufanya vibaya katika matokeo hayo ya kidato cha nne.
View attachment 1093751
Wakenya wana furaha mpwito mpwito. Nyie furaha itoke wapi na mnachinja watoto kila siku ili mtajirike? Toshekeni na mlicho nacho chiZZY CHIZZYUnataka kusemaje...?
Nyie mnafuraha...?
Njaa, ukata uliopitiliza, rushwa, ukabila, crime....?
Ndivyo vinavyowaletea furaha sio...?
Au liGDP lenu feki ndo linawadanganya...!!
Nyinyi kuifikia Tanzania Bado sanaa
Mna kaazi kweli kweliWakenya wana furaha mpwito mpwito. Nyie furaha itoke wapi na mnachinja watoto kila siku ili mtajirike? Toshekeni na mlicho nacho chiZZY CHIZZY
We piga mikelele hapo wee maisha yakikubana nitafute, nikakupe hata bonde la mpunga mbeya ulime manake usije ukawa unabwabwaja hapo huku hujui hata kesho utakula nnWakenya wana furaha mpwito mpwito. Nyie furaha itoke wapi na mnachinja watoto kila siku ili mtajirike? Toshekeni na mlicho nacho chiZZY CHIZZY
Tanzania hatuna uniform kama hizo,huu uongo wako baki nao huko huko kiberaHILI NIDARASA LA KWANZA KAMA WALIVYO NASWA NA MPIGA PICHA HUKO NGORONGORO UMASAINI jamii hii ya wafugaji ambao nimasai maisha yao ya kuhama hama je ndio kiini cha kukosa ELIMU je wanahitaji elimu?? nashule kama hii inawalimu au ni mila na desturi !! HAPA TANZANIA AU MSUMBIJI!!!
View attachment 1093469
BADALA YA KUJENGA HOSPITALI WAMEJEGA JENGO CCM KWANZA ILI WAPAGE VIZURI VIPI WATAWAIBIYA WANANCHI NA KUWADANGANYA NA MAENDELEO YA MDOGO MIAKA 50 NA USHAIYA ...
View attachment 1093470
Mna kaazi kweli kweli
We piga mikelele hapo wee maisha yakikubana nitafute, nikakupe hata bonde la mpunga mbeya ulime manake usije ukawa unabwabwaja hapo huku hujui hata kesho utakula nn
Tanzania hatuna uniform kama hizo,huu uongo wako baki nao huko huko kibera
Mnashika namba 3 duniani kwa watu waishio kwenye slum
Living in slums but happy while you live in 'mansions' but you're the unhappiest.Mnashika namba 3 duniani kwa watu waishio kwenye slumView attachment 1096163
| I believe that the very purpose of our life is to seek happiness. That is clear. Whether one believes in religion or not, whether one believes in this religion or that religion, we all are seeking something better in life. So, I think, the very motion of our life is towards happiness |
I see it,u r so happy,congrats madamLiving in slums but happy while you live in 'mansions' but you're the unhappiest.
Low life expectancy, high mortality rate
see...
I believe that the very purpose of our life is to seek happiness. That is clear. Whether one believes in religion or not, whether one believes in this religion or that religion, we all are seeking something better in life. So, I think, the very motion of our life is towards happiness
I see it,u r so happy,congrats madamView attachment 1096226
Watanzania kukimbia shinda zao...wacha tu!!