Mi jubilee hebu kujeni hapa kidogo..Hii ndio hali ya shule za msingi kenya?

Hakuna uupuzi kama huu Tanzania..Wacha kutafuta picha za mozambique na malawi ujifariji..
Inaitwa self denial. Na Hapa ni wapi mzee. Labda konyagi itakua imeshuka utasoma vizuri!!
1093750

Hatua zichukuliwe sasa kuokoa shule za sekondari za serikali | FikraPevu
FikraPevu
Matatizo lukuki yanayoikabili sekta hii ya elimu yamechangia kwa kiasi kikubwa shule za serikali kufanya vibaya katika matokeo hayo ya kidato cha nne.
1093751

Shule za Tanzania: Tanzania schools- shule zetu, in balaa tupu, angalia picha hii
tanzania-schools.blogspot.com
Tanzania schools, after 50 years of independent, one can not just be blind, not to see how this government is oppressing, our children..
HILI NIDARASA LA KWANZA KAMA WALIVYO NASWA NA MPIGA PICHA HUKO NGORONGORO UMASAINI jamii hii ya wafugaji ambao nimasai maisha yao ya kuhama hama je ndio kiini cha kukosa ELIMU je wanahitaji elimu?? nashule kama hii inawalimu au ni mila na desturi !! HAPA TANZANIA AU MSUMBIJI!!!

1557503331452-png.1093469

BADALA YA KUJENGA HOSPITALI WAMEJEGA JENGO CCM KWANZA ILI WAPAGE VIZURI VIPI WATAWAIBIYA WANANCHI NA KUWADANGANYA NA MAENDELEO YA MDOGO MIAKA 50 NA USHAIYA ...
1557503439728-png.1093470
 
Inaitwa self denial. Na Hapa ni wapi mzee. Labda konyagi itakua imeshuka utasoma vizuri!!
View attachment 1093750
Hatua zichukuliwe sasa kuokoa shule za sekondari za serikali | FikraPevu
FikraPevu
Matatizo lukuki yanayoikabili sekta hii ya elimu yamechangia kwa kiasi kikubwa shule za serikali kufanya vibaya katika matokeo hayo ya kidato cha nne.
View attachment 1093751

Shule za Tanzania: Tanzania schools- shule zetu, in balaa tupu, angalia picha hii
tanzania-schools.blogspot.com
Tanzania schools, after 50 years of independent, one can not just be blind, not to see how this government is oppressing, our children..
HILI NIDARASA LA KWANZA KAMA WALIVYO NASWA NA MPIGA PICHA HUKO NGORONGORO UMASAINI jamii hii ya wafugaji ambao nimasai maisha yao ya kuhama hama je ndio kiini cha kukosa ELIMU je wanahitaji elimu?? nashule kama hii inawalimu au ni mila na desturi !! HAPA TANZANIA AU MSUMBIJI!!!

1557503331452-png.1093469

BADALA YA KUJENGA HOSPITALI WAMEJEGA JENGO CCM KWANZA ILI WAPAGE VIZURI VIPI WATAWAIBIYA WANANCHI NA KUWADANGANYA NA MAENDELEO YA MDOGO MIAKA 50 NA USHAIYA ...
1557503439728-png.1093470
Lete ushahidi sio hizi ripoti za bloggers, sasa ngoja uone ujinga wa hizi bloggers, wamachukua hiyo picha ya hii shule ya Kilifi wakasema ni Tanzania.

Mange Kimambi amejiaibisha kwa kutumia hiyo picha yenu ya Kilifi county ili kupinga ununuzi wa ndege mpya, bahati nzuri sasa hivi hii picha inazunguka sana mitandaoni, hivyo ukweli umejulikana. Tuletee reliable sources(Main stream Media please)
 
Ahaaa haaa haaa
That's a credible authority and source.
Siyo kuokoteza kwenye vyanzo ghushi vya kina mambe kimangi.
 
Hili sio tatizo kwetu, muhimu ni GDP kuwa kubwa. Acha kutuonea wivu sisi ni "Middle income country", ninyi ni LDC. Hahahahaha, hahahahaha, hahahahaha.
Bora Kenya ambako media na watu wengine are free to post whatever is wrong to push for the authorities to take responsibility unlike yr dictatorship lord,ingekua bongo huyo aliyepost angekua kuminywa pumbu lakini the situation is worse in Tzn na madarasa ya miti kukaa chini ni common had sekondary
 
Ninakusamehe kwasababu hujui ulisemalo. Unamkumbuka jamaa mmoja aliyejulikana kwa jina la Jakob Jumma?, alikua mwanaharakati aliyekua anaisema serikali ya Jubilee wazi wazi kutokana na kukithiri kwa rushwa ndani ya viongozi wa serikali, Serikali ya Kenya ilimuua kinyama Sana na hakuna uchunguzi wowote uliofanyika hadi sasa.

Je unakumbuka viongozi wa deni walivyouliwa hovyo hovyo kama Wanyama huko Mombasa wakidai kwamba ni magaidi?. Je huyu Padre huko Kisumu aliyelaani mauaji ya waandamanaji wakati wa kupinga matokeo ya uchaguzi wa kwanza wa mwaka 2017 ambayo kweli baadae MAHAKAMA iliyatengua?. https://www.thetablet.co.uk/news/79...nstrators-by-kenyatta-s-government-found-dead
Acha kuzungumzia vitu usivyovijua.
 
HILI NIDARASA LA KWANZA KAMA WALIVYO NASWA NA MPIGA PICHA HUKO NGORONGORO UMASAINI jamii hii ya wafugaji ambao nimasai maisha yao ya kuhama hama je ndio kiini cha kukosa ELIMU je wanahitaji elimu?? nashule kama hii inawalimu au ni mila na desturi !! HAPA TANZANIA AU MSUMBIJI!!!

View attachment 1093469

BADALA YA KUJENGA HOSPITALI WAMEJEGA JENGO CCM KWANZA ILI WAPAGE VIZURI VIPI WATAWAIBIYA WANANCHI NA KUWADANGANYA NA MAENDELEO YA MDOGO MIAKA 50 NA USHAIYA ...
View attachment 1093470

tafuta picha za 2019. achana na hiyo tbt ya mwaka 2011.
Screenshot_2019-05-11-10-27-08-052_com.opera.browser.jpeg
 
Bora Kenya ambako media na watu wengine are free to post whatever is wrong to push for the authorities to take responsibility unlike yr dictatorship lord,ingekua bongo huyo aliyepost angekua kuminywa pumbu lakini the situation is worse in Tzn na madarasa ya miti kukaa chini ni common had sekondary
Umenena. Wengine hata hawahudhurii shule huko kwenu that's why you have high illiteracy level
 
Ama unataka ya May 2019?
Lete reliable sources wacha kutuletea bloggers. Sina uhakika kama hiyo ni shule kweli, lakini hata kama ni shule, huyo amesema ni community based, maana yake ni wananchi wenyewe wanejenga, sio sehemu ya shule za Serikali. Muhimu wacha kutumia bloggers, "they can do anything too feed their ego, like Mange Kimambi who used photos of your school from Kilifi"
 
You have never lacked excuses. Anyway, that's the real state of Tanzania.
Lete reliable sources wacha kutuletea bloggers. Sina uhakika kama hiyo ni shule kweli, lakini hata kama ni shule, huyo amesema ni community based, maana yake ni wananchi wenyewe wanejenga, sio sehemu ya shule za Serikali. Muhimu wacha kutumia bloggers, "they can do anything too feed their ego, like Mange Kimambi who used photos of your school from Kilifi"
 
Tatizo hili,lipo sana Tanzania.ukosefu wa madarasa,.hata jimbo la honourable speaker,kuna shule inashimo moja la choo,wanafunzi wak zaidi ya 300.
Too sad,
 
Ungekua na akili, ungetofautisha kati ya vitendo vya uhalifu na vitendo vitokanavyo na ulafi, uzembe na rushwa.
Kenya katika uhalifu bado mnaongoza Africa, katika uzembe na serikali legelege inayoshindwa kuhudumia wananchi wake, pia mnaongeza. Hivi mbawezaje kuwalinda wabunge, CSs, Governors, na Senators wote 24/7, mshindwe kuwajengea hao watoto madawati?, hata Marekani Senators hawalindwi 24/7 kwa gharama za serikali, hovyo kabisa ninyi.
Hawa jamaa wanatia aibu la liGDP lao feki
 
Kumbuka dead state (Tanzania) ndiyo nchi ambayo imejaa watu wasio na furaha na depressed ukanda huu.Nadhani ni kwa sababu ya kunyimwa Uhuru wa kujieleza. Dikteta anawaongoza kama kondoo.
Watoto wakichinjwa, unatarajia wazazi wawe na furaha? Watakuwa wamenuna kila wakati huku wanaumia moyoni lakini hawawezi Fanya lolote kisa viongozi ndio wanachinja watoto ili washinde uchaguzi.
Unataka kusemaje...?

Nyie mnafuraha...?

Njaa, ukata uliopitiliza, rushwa, ukabila, crime....?

Ndivyo vinavyowaletea furaha sio...?

Au liGDP lenu feki ndo linawadanganya...!!

Nyinyi kuifikia Tanzania Bado sanaa
 
Back
Top Bottom