waltham
JF-Expert Member
- Jan 23, 2014
- 2,522
- 1,045
Inaitwa self denial. Na Hapa ni wapi mzee. Labda konyagi itakua imeshuka utasoma vizuri!!Hakuna uupuzi kama huu Tanzania..Wacha kutafuta picha za mozambique na malawi ujifariji..
Hatua zichukuliwe sasa kuokoa shule za sekondari za serikali | FikraPevu
FikraPevu
Matatizo lukuki yanayoikabili sekta hii ya elimu yamechangia kwa kiasi kikubwa shule za serikali kufanya vibaya katika matokeo hayo ya kidato cha nne.
Shule za Tanzania: Tanzania schools- shule zetu, in balaa tupu, angalia picha hii
tanzania-schools.blogspot.com
Tanzania schools, after 50 years of independent, one can not just be blind, not to see how this government is oppressing, our children..
HILI NIDARASA LA KWANZA KAMA WALIVYO NASWA NA MPIGA PICHA HUKO NGORONGORO UMASAINI jamii hii ya wafugaji ambao nimasai maisha yao ya kuhama hama je ndio kiini cha kukosa ELIMU je wanahitaji elimu?? nashule kama hii inawalimu au ni mila na desturi !! HAPA TANZANIA AU MSUMBIJI!!!
BADALA YA KUJENGA HOSPITALI WAMEJEGA JENGO CCM KWANZA ILI WAPAGE VIZURI VIPI WATAWAIBIYA WANANCHI NA KUWADANGANYA NA MAENDELEO YA MDOGO MIAKA 50 NA USHAIYA ...