KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
Ndo ameanza anakuaje mkuu?Karibu mkuu!!
Umejuaje ni wa kiume?Munamundama sana ila Angekuwa mtoto wa Kike hapo angesifiwa sana
usi ji expose sana Kijana,weka picha nyingine kama vipi...kuna siku utanikumbuka.asilimia 99 humu haya majina sio yetu na picha sio zetu.Huon picha
Poa mkuu