Mi mgeni humu so msishangae pale ntakapoenda tofauti

Mi mgeni humu so msishangae pale ntakapoenda tofauti

usi ji expose sana Kijana,weka picha nyingine kama vipi...kuna siku utanikumbuka.asilimia 99 humu haya majina sio yetu na picha sio zetu.
ila usijifanye demu wakati we ni msela
Iyo picha yangu kwan ni ya kike au kiume mi boy bhana
 
Krb sana ila ukumbuke kuwa mstaarab na mvumiliv....pia pendelea kusoma posti na michango ya watu ndio utaijua jf sio JUKWAA UCHWARA
 
Back
Top Bottom