mie mwenyewe nimeforge A level,wkati sijasoma nimeaply chuo na nimepata bado kuanza september degree Accountancy katika chuo kimoja uk,hii topic imenishtua,inabidi kuwa careful watu wasijui niliforge lol,..............wakati naaagiza nitafutiwe cheti huko tanzania nilikumbana na kaka mmoja akaniambia ataniunganishia na watu wa wizarani unawapa hela wanakutengenezea cheti orijino na shule wanakutafutia mkoani,cheti kinakuwa na jina lako na specifications unawapa sema ndio kinatoka wizarani,sikumuamini sana huyu kaka sababu namjua toka hapa uk ni mwongo mwongo...nilitengeneza tu vyetii mtaani na bahati nzuri nikapata admission,labda wewe ujaribu kutafuta watu wizarani wakutengenezee cheti chenye jina lako na grades,mnaosema kurudia kusoma mmnh....mie nilijaribu hapa uk kusoma crash program ya alevel mmmmnh niliona maruwe ruwe tu kuforge sometimes its a way forward,six seven years jamani...kwa kweli hapana.