Speaker
JF-Expert Member
- Aug 12, 2010
- 6,324
- 2,240
Pole sana.
najua una maumivu sana,lakini ulikuwa unafanya kazi zisizo
zako na kuna watu wamekosa kazi kwa kuwa tu ulikuwa na nafasi yao
while hukustahili.
Rudi shule,25 ni miaka michache sana.
Nikiwa form1 nimesoma na mtu akiwa 25yrs.
Na leo ni mwalimu wa sekondari flani huko shinyanga.