Mi naamini Porsche 911 ndio best Sports Car ya muda wote! Sema used bila Mil 150+ ngumu sana kuimiliki!

Mi naamini Porsche 911 ndio best Sports Car ya muda wote! Sema used bila Mil 150+ ngumu sana kuimiliki!

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
35,566
Reaction score
104,386
IMG_8462.png

Tokea 1963 ianze kutengenezwa, zaidi ya generation 8, models zaidi ya 20 na units zaidi ya million 1.2 zimeuzwa.
IMG_8465.jpeg

Uzuri wa hii gari, haipotezi muonekano wake, kila siku wanaiboresha tu lakini yenyewe iko vile vile kimuonekano.

Wengi mlianza kuipenda 911 bila kuijua kwenye movie ya Commando (1985) ya Baba Jen (Arnorld Schwarzenegger)!
IMG_8463.jpeg

Unaambiwa karibia 70% ya 911 zote zilizotengenezwa, still zipo road. Kwahiyo ni reliable pia hii gari.
IMG_8461.jpeg

Kwa mfano, ukiambiwa hii gari hapa chini ni model mwaka 1990 si unaweza ukakataa?
IMG_8464.jpeg

Hii chuma inavutia sana kuimiliki, tatizo bei imesimama sana na ushuru ni kuanzia Mil 90+
IMG_8468.jpeg

Tuombeane uzima tu.
IMG_8467.jpeg

Uko Beforward, zile za zamani zamani 2002 hivi ndio unazipata kwa Mil 40 flani sema ushuru wake ndio ivo, 90 kwenda juu.
IMG_8469.jpeg

Hizi generation ya 8 za kuanzia 2019 kuja juu hizi habari nyingine. Bila Mil 200 kabla ya TRA hupati.
IMG_8470.jpeg


Tena izi ushuru wa moto unakuta Mil 130 unawapa TRA kwa control number.
IMG_8471.jpeg

Sema kutoa Mil 300 kununua kigari chenye siti mbili hafu sio kutoka Italia ni uchizi 😩
 
View attachment 3584964
Tokea 1963 ianze kutengenezwa, zaidi ya generation 8, models zaidi ya 20 na units zaidi ya million 1.2 zimeuzwa.
View attachment 3584965
Uzuri wa hii gari, haipotezi muonekano wake, kila siku wanaiboresha tu lakini yenyewe iko vile vile kimuonekano.

Wengi mlianza kuipenda 911 bila kuijua kwenye movie ya Commando (1985) ya Baba Jen (Arnorld Schwarzenegger)!View attachment 3584966
Unaambiwa karibia 70% ya 911 zote zilizotengenezwa, still zipo road. Kwahiyo ni reliable pia hii gari.
View attachment 3584967
Kwa mfano, ukiambiwa hii gari hapa chini ni model mwaka 1990 si unaweza ukakataa?
View attachment 3584968
Hii chuma inavutia sana kuimiliki, tatizo bei imesimama sana na ushuru ni kuanzia Mil 90+
View attachment 3584969
Tuombeane uzima tu. View attachment 3584970
Uko Beforward, zile za zamani zamani 2002 hivi ndio unazipata kwa Mil 40 flani sema ushuru wake ndio ivo, 90 kwenda juu. View attachment 3584971
Hizi generation ya 8 za kuanzia 2019 kuja juu hizi habari nyingine. Bila Mil 200 kabla ya TRA hupati.
View attachment 3584974

Tena izi ushuru wa moto unakuta Mil 130 unawapa TRA kwa control number. View attachment 3584975
Sema kutoa Mil 300 kununua kigari chenye siti mbili hafu sio kutoka Italia ni uchizi
Mezani kwangu gari pekee itakayofanikiwa kuitoa Porsche 911 ni 1967 ford mustang fastback, Ndo gari zimefanya mpaka leo nayajua magari. best looking and powerful cars.
 
Gari ya Ndoto yangu hiyo hasa 1976 911....
 
Porsche 911 bado zinacheza Safari Rally hii ni Legendary Car haswa. Arusha na Kenya wahindi bado wanazo
 
Porsche 911 ndiyo icon ya kampuni....911 ni boxer engine kama zile za Subaru
 
Arusha kuna muhindi anazo porsche carrera 3, amefariki mwaka juzi, nasikia siku hizi wamezikusanya na magari mabovu kama tu scraps
 
Back
Top Bottom