Kwa matokeo ya kufungwa mechi mbili mfulululizo, tena kwa idadi ile kubwa ya magoli, walitakiwa wabadili benchi lote la ufundi ili kuleta mabadiliko ya kiufundi na nidhamu ktk timu. Lakini hilo limewezekana tu kwa Js Soura. Kwa Simba ni jambo lisilowwzekana. Na sababu zinaweza kuwa nyingi tu.