Mi naona Simba wafumue kikosi chote na kuanza upya

Mi naona Simba wafumue kikosi chote na kuanza upya

instanbul

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2016
Posts
12,037
Reaction score
17,212
Yap si hela wanazo,wadhamini wanao na uwezo wanao.

Mi naona kikosi kizima,kocha,menega,uongozi,mpaka msemaji manara waondolewe Kwa kufunua uwanja mpya.kuzunguka tz nzima na kutafuta vijana wenye vipaji kuwatrain na kutengeneza kikosi kipya

Hivyo hivyo taifa stars

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa matokeo ya kufungwa mechi mbili mfulululizo, tena kwa idadi ile kubwa ya magoli, walitakiwa wabadili benchi lote la ufundi ili kuleta mabadiliko ya kiufundi na nidhamu ktk timu. Lakini hilo limewezekana tu kwa Js Soura. Kwa Simba ni jambo lisilowwzekana. Na sababu zinaweza kuwa nyingi tu.
 
Screenshot_20190203-131029_Instagram.jpg
 
Nataka comment za edo kwenye mechi ya Kwanza hapa.
 
Back
Top Bottom