Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Akinyamaza tuu people of kenya na Tanzania will she she has bee comprisedβ¦.let her speak its right timeβ¦Una hoja ya msingi, ila mchuzi wa mbwa unywewe ungali wa moto.
Maria ana akili nyingi, pengine ana taarifa za siri kuhusiana na kutekwa kwake ndio anataka kuziongelea.
Kabisa.....mchuzi wa mbwa unywewe ungali wa moto.
Mchuzi wa umbwa unanywewa wa moto.. Hakuna haja ya kuwa na hofuHakuna ulazima wa yeye kuongea kesho. She must wait until she is fully recovered from the shock.
She should wait for the right time. She is in a foreign country.
Kwa hiyo asiihusishe nchi jirani na siasa za Tanzania.
She could wait until NEXT Monday.
Hatuhitaji kusikia hizi monotonous stories za utekaji.
Itakuwa siyo heshima kwa Rais wa Tanzania Maria akifanya Press Conference Nairobi.
Hakuna ulazima wa yeye kuongea kesho. She must wait until she is fully recovered from the shock.
She should wait for the right time. She is in a foreign country.
Kwa hiyo asiihusishe nchi jirani na siasa za Tanzania.
She could wait until NEXT Monday.
Hatuhitaji kusikia hizi monotonous stories za utekaji.
Itakuwa siyo heshima kwa Rais wa Tanzania Maria akifanya Press Conference Nairobi.
Mchuzi wa umbwa unanywewa wa moto.. Hakuna haja ya kuwa na hofu
Fear of the unknownAnd strike the iron when its hot...kwanini aogope????
Will it make a difference?Una hoja ya msingi, ila mchuzi wa mbwa unywewe ungali wa moto.
Maria ana akili nyingi, pengine ana taarifa za siri kuhusiana na kutekwa kwake ndio anataka kuziongelea.
Mbona umepanic?Ataongea nini, anataka kuwaonyesha anavyolia tu. Huyu kweli anatafuta kiki sasa, anaongea na watanzania au wakenya?