Mi napinga Maria Sarungi kuongea kesho Januari 13

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,095
Reaction score
4,632
Hakuna ulazima wa yeye kuongea kesho. She must wait until she is fully recovered from the shock.

She should wait for the right time. She is in a foreign country.

Kwa hiyo asiihusishe nchi jirani na siasa za Tanzania.

She could wait until NEXT Monday.
Hatuhitaji kusikia hizi monotonous stories za utekaji.
Itakuwa siyo heshima kwa Rais wa Tanzania Maria akifanya Press Conference Nairobi.
 
Mfahamu sultan ibn mbowe king'ang'anizi
IMG-20241206-WA0083(1).jpg
 
Una hoja ya msingi, ila mchuzi wa mbwa unywewe ungali wa moto.

Maria ana akili nyingi, pengine ana taarifa za siri kuhusiana na kutekwa kwake ndio anataka kuziongelea.
Akinyamaza tuu people of kenya na Tanzania will she she has bee comprised….let her speak its right time…
 
Hakuna ulazima wa yeye kuongea kesho. She must wait until she is fully recovered from the shock.

She should wait for the right time. She is in a foreign country.

Kwa hiyo asiihusishe nchi jirani na siasa za Tanzania.

She could wait until NEXT Monday.
Hatuhitaji kusikia hizi monotonous stories za utekaji.
Itakuwa siyo heshima kwa Rais wa Tanzania Maria akifanya Press Conference Nairobi.
Mchuzi wa umbwa unanywewa wa moto.. Hakuna haja ya kuwa na hofu
 
Hakuna ulazima wa yeye kuongea kesho. She must wait until she is fully recovered from the shock.

She should wait for the right time. She is in a foreign country.

Kwa hiyo asiihusishe nchi jirani na siasa za Tanzania.

She could wait until NEXT Monday.
Hatuhitaji kusikia hizi monotonous stories za utekaji.
Itakuwa siyo heshima kwa Rais wa Tanzania Maria akifanya Press Conference Nairobi.

Pilipili usioila inakuwashia nini? Maana wewe kama Maria Sarungi, kwanini asubiri mpaka J3? Something fishy 😂 😂 😂 😂
 
mariaa mamaa ongeaa tuu...kelele zimezidiii...ilkuwa ushukee namanga chap!
 
Yani huu ujinga sijui utatuisha Lini, Yani huyo naye kaita Press na watu watamsikiliza?

Mic zimekuwa Nyingi China kila mtu anayakwake, kila mtu anvyojisikia anaongea na Wadanganyika.

Kila mtu anaita Press, anataka kuongea na Wadanganyika wanakuja, Ngoja nami nitoke India lazima niite PRESS niongee na Wadanganyika.
 
Akae na huyo mine wake tu....waende kanisani Basi....

😏😏😏
 
Una hoja ya msingi, ila mchuzi wa mbwa unywewe ungali wa moto.

Maria ana akili nyingi, pengine ana taarifa za siri kuhusiana na kutekwa kwake ndio anataka kuziongelea.
Will it make a difference?
 
Ataongea nini, anataka kuwaonyesha anavyolia tu. Huyu kweli anatafuta kiki sasa, anaongea na watanzania au wakenya?
 
Back
Top Bottom