Mi napinga Maria Sarungi kuongea kesho Januari 13

kwani amekwambia ana shock?! pumbafu nyie mmeanza kuginyeanyea sasa mnaachwa uchi fisiem ni mashetani
 
Hofu inatoka wapi?

Unasema kwamba "Itakuwa siyo heshima kwa Rais wa Tanzania Maria akifanya Press Conference Nairobi," Je, umaanisha nini kusema hivyo?
Kwani Rais Samia ndiye aliyemteka huyo Maria Sarungi huko Nairobi Kenya? Au unataka kusemaje hapa?
 
Ataongea nini, anataka kuwaonyesha anavyolia tu. Huyu kweli anatafuta kiki sasa, anaongea na watanzania au wakenya?
Ndugu, uko sawa kweli!! Relax, ok! Ikiwezekana kunywa maji mengi ili ushushe presha ya mwili.
 
Ninazingatia kile usichokiongea
 
Mbona ana online media yake
 
Serkali imezidi kuteka wapinzani wacha aongee.
 
Bora aongee ukweli tujue mapema kuliko kukaa kimya then badae mje kutuletea simulizi za vitabu inakuwa haina maana
 
Fear of the unknown
fear of loss, the thunderstorm never strike twice at same place, aongee tu issue ikiwa hot. Maana between days kuna mambo mengi yanaweza kutokea na kufanya tukio hili lipotezewe umma ushindwe kuelewa.
 
Wewe sio maria

Mwache atumie uhuru wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…