Mi natoa ONYO: Kuna Member wa Humu JF ana mahusiano na mchumba wangu. Tusije Kulaumiana Bure

sitofungwa kaka... maana nitakachofanya wala serikali haitakuwa na sababu ya kunifunga ...mimi jamaa wala sitamgusa. wala sitaki kuonana naye nmetoa hili kama onyo tu. ila kama ananiona mimi fala basi aendelee tu wala hamna shida ila najua atakuja kunitafuta yeye mwenyewe tu.



Kaka angalia wapi unakosea ukiwa na mpenzi wako, pili anza kumkanya mpenzi wako, tatu kuna jela wakati wewe ukiwa jela watu watajilia kiulani
 
Weka picha ya mchumba tumwone, unaweza kuongeza idadi ya wapuuzi humu JF
 
Umeonaeeee. Eti anamtishia nyani mgunzi.

Tusubiri tuone Pacha. Ila hii kali aiseee yaani imefanya wale wanaoiba iba wote presha iwapande. Lol
Yaani hapa kila muibaji anajihisi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
daaah.. ila wananiharibia sana maana huyu jamaa ye anaona mi ndo mbaya wake... na anaamini hivyo kabisa. mimi ni mpole sina maneno na watu sina makuu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Pole sana kaka ake.

Ila zile story zako zile ujue ndio sababu. Hahaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…