Mi natoa ONYO: Kuna Member wa Humu JF ana mahusiano na mchumba wangu. Tusije Kulaumiana Bure

Mi natoa ONYO: Kuna Member wa Humu JF ana mahusiano na mchumba wangu. Tusije Kulaumiana Bure

wadau mbona mnaniharibia status yangu sana.... kila sehemu nanyooshewa vidole kuwa ni gudume.. kwa nini mnanisimanga na kunifadhaisha hivi. kiukweli nimefadhaishwa sana, nimesikitishwa sana, nimenyanyasika sana. hii ni kampeni ya watu flani kutaka kunichafulia jina langu baada ya kuona nimekuwa mfano mwema wa kuigwa katika jamii. leo mtu from nowhere anani unganishia na mambo ya kipuuzi. nami nasema kutawaka moto..kweli nawaambia kutawaka moto. huyo chizi kama ananilenga mimi nshamwambia NMESHAVUKA MAJI YA SHINGO BILA PU**U KULOA. lakini pia wadau acheni kuniharibia kuninyooshea mimi vidole.mimi sina makuu na mtu.
hata mimi nilihisi wewe samahani lakini😀😀😀
 
Kama mke analiwa itakuwa huyo kinuka mkojo?...sikiliza wewe huyo demu hata uchumba hakuna...na unajua gharama nyingine nani anagharimia? Huwezi kumtisha mtu,,mademu wengi hawapendi watu walio formal wanapenda bad boys...ndiyo maana huyo hata ukimuoa atagongwa sana nje na ma bad boys....pole sana kwa kuchelewa kuliona hili....na mimi lazima nikugongee huyo demu wako...unaleta Mkwara? umeshaambiwa siku zote ukimlipia masomo demu lazima itakula kwako...siku zote ndivyo ilivyo.....huyo huwezi kumuoa hata kidogo...
Ulivyoongea, kama ndo uliyekusudiwa vile!!! [emoji1] [emoji1]
 
gudume ana IDs 10 siyo mbili tu. na yako huwa natumia pia wakati mwingine.... 😀😀😀😀 ukikalia kitu chenye nja butu subiri ushuke kwanza. mleta mada hajanitaja na kama angenitaja pia si mbaya..shuka uje tuzoze mamaa... sawa? watoto hawajambo lakini?

Huyu Chizi maarifa ana ID mbili nyingine ni GuDume na huyu anayeemsema ni Gudumume..

kama hua unasoma post za gufume baasi utakua unajua..
 
mi nipo tayari kuachana naye ... na gharama zangu ningependa zirudishwe...najua hazitarudishwa direct ila zitarudishwa kwa njia nyingine....kabisa hata kama si mimi nitakayepokea hizo pesa....ila zitarudishwa tu. wanawake nao sometime wengine wana udhaifu wao ambao wanaume kadhaa huutumia kwa faida yao. mi nasikitikia tu gharama zangu sababu kabis anlimwambia huyo dada kama hana nia ya kuwa nami aseme ili nisipoteze muda ...akanambia ananipenda na yupo tayari kuishi nami.kazi zangu ni za kusafiri safiri sana sometime nakuwa mbali hata kwa miezi miwili au zaidi lakini ni katika kutafuta pesa. so nitamwacha ila nitakayemwachia atalipa muda na pesa zangu.... sitomwacha salama.
Pesa hulipwi wala nn,,
Makombora yako yamtishi mtu hapa,, yaaani mchumba ndo nlipe aiseeee,,,, aiseeee nyie wekeni battle afu sie waganga wa jadi tulioko sumbawanga tufaidi pesa zenu ,,,
Cc simpasa og
 
ningekuwa mimi wala sihitaji kupiga biti la namna hii. mambo ya kurogana ni ya kizamani. mi nakufuata face to face nakukamata nakufanya jambo baya sana................ hutonisahau. mnakimbilia kutaka kuoa wakati mioyo yenu bado dhaifu.......... halafu na wewe mwanaume unajikuta huna michepuko ndo maana roho inakuuma .we ungekamata mchepuko mmoja au miwili humu ndani unaendelea kujigongea. halafu huyo mchumba humwambii anything aendelee tu kuloweshwa kama anaona fahari.
 
Ungemtagi na copy ya hii post yako mtumie PM itapendeza zaidi
 
الشتيمة وكلمات قبيحة
ningekuwa mimi wala sihitaji kupiga biti la namna hii. mambo ya kurogana ni ya kizamani. mi nakufuata face to face nakukamata nakufanya jambo baya sana................ hutonisahau. mnakimbilia kutaka kuoa wakati mioyo yenu bado dhaifu.......... halafu na wewe mwanaume unajikuta huna michepuko ndo maana roho inakuuma .we ungekamata mchepuko mmoja au miwili humu ndani unaendelea kujigongea. halafu huyo mchumba humwambii anything aendelee tu kuloweshwa kama anaona fahari.
 
gudume ana IDs 10 siyo mbili tu. na yako huwa natumia pia wakati mwingine.... 😀😀😀😀 ukikalia kitu chenye nja butu subiri ushuke kwanza. mleta mada hajanitaja na kama angenitaja pia si mbaya..shuka uje tuzoze mamaa... sawa? watoto hawajambo lakini?
Gu dume kwanza mm ni Kidume..

Ww nafaham vzr tone za uandishi wako, na tunajua hii id ni yako hata kama unazo mia..
 
Pole mleta mada , hakika inauma, ukweli usiopingika usitende kosa mara mbili kumuadhibu mwanaume mwenzio kisa mke wako, mwenye makosa yote ni mke wako kwani km angejua an mme basi asingeruhusu hali ya kuwa na mahusiano na mtu mwingine, ila huyo kijana hana makosa na uenda alisema yuko single...
Na inawezekana mdada hajasema kuwa ana mwenza wake. Mtoa mada aanze kumuadabisha wifi yetu ndo mengine yaendelee
 
Back
Top Bottom