Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,805
- 15,529
Wewe umepatia sanashida ni huyo mchumba wako ndo hajielewi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe umepatia sanashida ni huyo mchumba wako ndo hajielewi
Mchumba hana kesi ya kujibu mkuu?mi nipo tayari kuachana naye ... na gharama zangu ningependa zirudishwe...najua hazitarudishwa direct ila zitarudishwa kwa njia nyingine....kabisa hata kama si mimi nitakayepokea hizo pesa....ila zitarudishwa tu. wanawake nao sometime wengine wana udhaifu wao ambao wanaume kadhaa huutumia kwa faida yao. mi nasikitikia tu gharama zangu sababu kabis anlimwambia huyo dada kama hana nia ya kuwa nami aseme ili nisipoteze muda ...akanambia ananipenda na yupo tayari kuishi nami.kazi zangu ni za kusafiri safiri sana sometime nakuwa mbali hata kwa miezi miwili au zaidi lakini ni katika kutafuta pesa. so nitamwacha ila nitakayemwachia atalipa muda na pesa zangu.... sitomwacha salama.
Na nyinyi mue mnachagua kati ya raha na maendeleo wengine uwezo wa kuchekesha hamna wanawaza pesa kwa ajili ya maisha ukitaka kuchekeshwa muache nenda kwa anae kuchekesha sio mnataka vyote.Hii ya leo kali
Wewe upo nae kimwili unashindwa kumpa raha unakuja kumtishia anayempa maneno matamu JF eeeeeeh
Ukiachwa usimlaumu mtu maana hata mchumba atakuona wewe bomu kweli kweli sasa hivi
Atoroke tu binaadam hatukuumbwa sawa,Punguzaga userious na ww, ndo maana mtt anataka kukutoroka, mkwara wako uloutoa ameshakusikia usijali atamuacha
Kwa nini utumie nguvu zote hizi kwa mtu anaejua baya na zuri?Ili kuepusha hayo yooote mkuu mnunulia sim ya tochi huyo mchumba wako halafu safar zote safir nae uone kma ataku chit tena
Punguza wivu na mtoto wa watu kama unampenda sana muowe, hafu kumbuka kuwa huwezi ukamchunga au kumwamulia ampende naniNimelazimika kusema hili ingawa najua wengine mnaweza kukebehi na kunidhihaki. Haina shida nimeamua kusema iwe kama angalizo maana kuna siku nitakuja tu kufanya reference. Sisi wengine hatujui sana kuzungumza au kurushiana maneno. Hii naweka tu kama ushahidi ili nikimfanya mtu kama ambacho nilimfanya shababy mmoja mwaka 2015 tusilaumiane.
Mimi nina mchumba ambaye kwa sasa ni mwezi wa 5 nipo naye. Kazi zangu ni za safari safari sana, so kila wakati nakuwa safarini ili niandae mazingira mazuri ya maisha yetu ya ndo hasa ukichukulia ye mchumba wangu amemaliza chuo mwaka wa 2 sasa hana kazi. Yeye ana muda mwingi sana so anakuwa home na sometime mishe mishe zake ila ni muda sasa naona amezoeana na member mmoja humu ndani ambaye amekuwa mara nyingi akiuza sana chai na habari zake za ajabu ajabu. Ni mhuni na baradhuli tu huyo member wala si mtu wa staha hata kidogo mimi ni mtu mstaraabu sana na mpole.
Nilianza kuona kila mara huyo member akianzisha thread huyu mchumba wangu analike na anachangia sana na huwa akisoma anasoma anacheka mpaka machozi yanamtoka muda wote akiwa nami anajisahau anaaanza kusoma threads za huyo jamaa baadaye nikamwambia mi sipendi anavyokuwa occupied sana na huyo jamaa mpaka anajisahau anasema "ila wanaume wengine bwana yaani ukikaa na huyu kaka itakuwa mtu hata stress huana unacheka tu" hilo liliniudhi maana asili yangu mimi ni mtu ambaye nipo serious na sina sana stories hasa za kipuuzi puuzi kama za huyo member humu ndani za ngono na jinsi wanavyotendana na wanawake.
Siku moja kweli ananiambia hebu siku moja nasi tujaribu hii style ya .... nikashangaa katamka jina nikamwambia kwa upole kuwa kwa nini anakuwa obsessed na huyo jamaa mhuni na malaya?" akaniambia "aaah.. Nawe baby una mind vitu vidogo tu mtu mwenyewe hata simjui" juzi juzi hapa akawa ananambia unajua good girls wanapenda sana bad boys..sikutilia maanani lakini nlianza kuona mashaka pale nilipoona anasema anataka aonane na huyo mtuniliingia kwenye inbox texts zake jamiiforums nikakuta anawasiliana naye sana wanacheka wanataniana na sometime wanachat maneno mpaka huyu mchumba anasema ameloana hili lilinikwaza hasa anaposema "wee..naomba nikuone live maana una vituko sana"
Nimeamua kuwa hili suala niliweke wazi huyu dada mimi nlishamhudumia sana chuo mpaka amemaliza ni mimi nlikuwa natoa ada kumwonesha tu kuwa nipo serious pesa za kutoka kwa wazazi wake alikuwa anatumia kufanyia mambo yake na nilimruhusu nikamwambia basi aangalie kama anaweza zifanyia kazi flan ya kuzalisha, she didnt do anything progressive with the money.
Leo hii mwendawazimu mmoja humu ndani anataka kuja kufanya masikhara na mchumba wangu its ok..mi naweza kumwachia ila afaham atarudisha pesa zangu zote nlizotumia kama si direct bas itakuwa indirect najua kwa nini nasema hivi na simtishii...yeye si mwanaume?ajaribu tu kumgusa huyu mchumba wangu kimapenzi atanifahamu kuna post iliwekwa humu kama sikosei mwaka jana..Kuna mtu alifanywa kitu kibaya sana kudandia wake za watu gharama aliyolipa ilikuwa kubwa na mpaka sasa anaendeleakulipa toka mwaka 2015.
Nimetoa tu hili kama angalizo.
Dah ebhana nimesoma thread ya jamaa ni nouma kweli. Hawa viumbe ili uendane nao kwenye mstari you must be very complex and undefined man. Otherwise utaishia kulia tu. Mimi wanawake wote niliowahi kuwanao kwenye mahusiano walishindwa kunielewa ni mtu wa aina gani
Kuna mengi sana hapo katikati lakini nataka nikwambie kitu kimoja, kamwe usiwe mpole na mtu wa maneno machache kwa mwanamke, okay unaweza kupata m1 ukaendana nae lakini wengi hautaendana nao
Kuwa flexible, Usije ukamwona kama ndio Oxygen yako. Sometimes mkazie na stick kwenye maamuzi yako
Keep in mind : kumhudumia sana dem is not guarantee. They are emotional and not logical.... Watch out!
Inategemea ntu ntu[emoji4]Sipendi kabisa endapo waubani ataijua JF.
Sijui sababu ni nini.
Sasa ndugu kumbe ni mchumba hata mahari hujatoa huoni na wewe pia mwizi unawaibia wazazi wa huyo mchumba wako.nakishauri kuliko kwenda jela kwa ajili ya papuchi piga chini tafuta mungine aise au muoane ili uwe na haki kabisa kuliko kulia lia na kumbe wewe mwizi piaNimelazimika kusema hili ingawa najua wengine mnaweza kukebehi na kunidhihaki. Haina shida nimeamua kusema iwe kama angalizo maana kuna siku nitakuja tu kufanya reference. Sisi wengine hatujui sana kuzungumza au kurushiana maneno. Hii naweka tu kama ushahidi ili nikimfanya mtu kama ambacho nilimfanya shababy mmoja mwaka 2015 tusilaumiane.