Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga mkono hapobera or dj! [emoji23][emoji28]
hawa wawili nahisi....
Kwel kbisa mkuu,hawa viumbe siyo wa kuamini hivyoMkuu unapiga mkwara namna hii na wakati bado mchumba,ukifunga nae ndoa si utatumaliza mkuu!
Kingine kuanzia leo tambua ya kwamba mchumba hasomeshwi,kwa mambo yanavyoenda kuna siku huyu mchumba wako atakuja kukutema,utakuja kufa bure mzee
Kama demu anafikis hatua anasema kalowa na Jamaa hawajawahi hata onana,unazani huko chuo wangapi washamlowanisha???Kwel kbisa mkuu,hawa viumbe siyo wa kuamini hivyo
Hisia zilishahamia kule kwa jamaa asiyemjua mpaka kufikia hatua anamlowanisha siyo masikhara hapo,sasa wanahitaji wakutane live ili waloweshane vizuriKama demu anafikis hatua anasema kalowa na Jamaa hawajawahi hata onana,unazani huko chuo wangapi washamlowanisha???
Inabidi na dada tumfahamu pia. Tumkaribishe na Numbisa atushauri kuhusu huu mtifuanoAhsante nmewasoma
Kwa mtindo huo utakuwa na wangapi mpaka unazeeka? cc ClkeyWewe unajitambua kweli? Mwanamke akishakuwa na mahusiano mengine huyo Siyo wako tena
Wakunanishe makojoleoHisia zilishahamia kule kwa jamaa asiyemjua mpaka kufikia hatua anamlowanisha siyo masikhara hapo,sasa wanahitaji wakutane live ili waloweshane vizuri
Pole mkuu. Naomba nikusikilizishe wimbo wa Wasi wasi wa mapenzi mwenzangu waua ulioimbwa na Stara Thomas!leo hii mwendawazimu mmoja humu ndani anataka kuja kufanya masikhara na mchumba wangu.its ok..mi naweza kumwachia ila afaham atarudisha pesa zangu zote nlizotumia kama si direct bas itakuwa indirect.
HahahahahahahahaahahahaaMkwara wa Kunguni Kitandani tu!