Mi natoa ONYO: Kuna Member wa Humu JF ana mahusiano na mchumba wangu. Tusije Kulaumiana Bure

nimelazimika kusema hili ingawa najua wengine mnaweza kukebehi na kunidhihaki. haina shida. nimeamua kuseam iwe kama angalizo maana kuna siku nitakuja tu kufanya reference. sisi wengine hatujui sana kuzungumza au kurushiana maneno. hii naweka tu kama ushahidi ili nikimfanya mtu kama ambacho nlimfanya shababy mmoja mwaka 2015 tusilaumiane.

mimi nina mchumba ambaye kwa sasa ni mwezi wa 5 nipo naye. kazi zangu ni za safari safari sana.so kila wakati nakuwa safarini ili niandae mazingira mazuri ya maisha yetu ya ndo hasa ukichukulia ye mchumba wangu amemaliza chuo mwaka wa 2 sasa hana kazi. yeye ana muda mwingi sana so anakuwa home na sometime mishe mishe zake. ila ni muda sasa naona amezoeana na member mmoja humu ndani ambaye amekuwa mara nyingi akiuza sana chai na habari zake za ajabu ajabu. ni mhuni na baradhuli tu huyo member wala si mtu wa staha hata kidogo. mimi ni mtu mstaraabu sana na mpole.

nilianza kuona kila mara huyo member akianzisha thread huyu mchumba wangu analike na anachangia sana. na huwa akisoma anasoma anacheka mpaka machozi yanamtoka.muda wote akiwa nami anajisahau anaaanza kusoma threads za huyo jamaa.baadaye nikamwambia mi sipendi anavyokuwa occupied sana na huyo jamaa mpaka anajisahau anasema "ila wanaume wengine bwana yaani ukikaa na huyu kaka itakuwa mtu hata stress huana unacheka tu" hilo liliniudhi maana asili yangu mimi ni mtu ambaye nipo serious na sina sana stories hasa za kipuuzi puuzi kama za huyo member humu ndani za ngono na jinsi wanavyotendana na wanawake.

siku moja kweli ananambia hebu siku moja nasi tujaribu hii style ya .... nikashangaa katamka jina.nikamwambia kwa upole kuwa kwa nini anakuwa obsessed na huyo jamaa mhuni na malaya?" akanambia "aaah.. nawe baby una mind vitu vidogo tu mtu mwenyewe hata simjui" juzi juzi hapa akawa ananambia unajua good girls wanapenda sana bad boys..sikutilia maanani. lakini nlianza kuona mashaka pale nlipoona anasema anataka aonane na huyo mtu.nliingia kwenye inbox texts zake jamiiforums nikakuta anawasiliana naye sana. wanacheka wanataniana na sometime wanachat maneno mpaka huyu mchumba anasema ameloana. hili lilinikwaza.hasa anaposema "wee..naomba nikuone live maana una vituko sana"

nimeamua kuwa hili suala niliweke wazi.huyu dada mimi nlishamhudumia sana. chuo mpaka amemaliza ni mimi nlikuwa natoa ada kumwonesha tu kuwa nipo serious pesa za kutoka kwa wazaz wake alikuwa anatumia kufanyia mambo yake na nilimruhusu nikamwambia basi aangalie kama anaweza zifanyia kazi flan ya kuzalisha.she didnt do anything progressive with the money.

leo hii mwendawazimu mmoja humu ndani anataka kuja kufanya masikhara na mchumba wangu.its ok..mi naweza kumwachia ila afaham atarudisha pesa zangu zote nlizotumia kama si direct bas itakuwa indirect. najua kwa nini nasema hivi. na simtishii...ye si mwanaume?ajaribu tu kumgusa huyu mchumba wangu kimapenzi. atanifaham. kuna post iliwekwa humu kama sikosei mwaka jana....kuna mtu alifanywa kitu kibaya sana kudandia wake za watu. gharama aliyolipa ilikuwa kubwa na mpaka sasa anaendeleakulipa toka mwaka 2015. nimetoa tu hili kama angalizo.
Mwende direct sisi hatumjui na hatuna msaada.
 
Duh kumbe mtu mwenyewe ni GuDume

Mkulu raha ya mwanamke ni kumpa raha so kama anakupenda muache apate raha Kwa gudume Au mpe hizo style anazotaka maisha yaendelee
 
Kama mke analiwa itakuwa huyo kinuka mkojo?...sikiliza wewe huyo demu hata uchumba hakuna...na unajua gharama nyingine nani anagharimia? Huwezi kumtisha mtu,,mademu wengi hawapendi watu walio formal wanapenda bad boys...ndiyo maana huyo hata ukimuoa atagongwa sana nje na ma bad boys....pole sana kwa kuchelewa kuliona hili....na mimi lazima nikugongee huyo demu wako...unaleta Mkwara? umeshaambiwa siku zote ukimlipia masomo demu lazima itakula kwako...siku zote ndivyo ilivyo.....huyo huwezi kumuoa hata kidogo...
 
nmegundua nyie watu mnaniombea mabaya sana..hamwoni kwua sasa ndo mnampa uthibitisho kabisa????????????????????????? nmewakosea nini mimi jamani mpaka mnaniombea mabaya hivi.......................
hahaha [emoji23][emoji28] wanaona ww ndo mwenye story nyingi za ulozi.
 
Ni mke wako? Ama mchumba wako? Kama ni mchumba unajulikana kwao?? Kama sio basi huna Uhuru to that extent cha msingi kaa naye huyo bibiye akuelewe kuwa hupendi vinginevyo utakuwa unatka kujijengea uhalali kisa tu ulilipa ada!
 
Ila hata mimi napenda sana Mwanamke mwenye Nyege nyingi maana unamla kupita maelezo sio kama wale Nyege za mbali unabembeleza hadi mboo inasinyaa kama uchumi wa Tanzania...

kidume lengwa kishajulikana na huyo mdada vipi tumjue me pia nishamhusudu...

mdada mlengwa naomba uje pm
 
Mkuu, kama ni kweli uyasemayo naomba nikushauri jambo kitaalamu, huyu mwanamke sio mke na nikwambie tu mshukuru Mungu wako, ujue watu wengi huumia kwa kutokukubaliana na hali, hii imegawanyika sehemu nyingi, kuna watu the way walivyo ni kutokana na ubishi wa kutokukubali hata kama akiambiwa ukweli, kwa jumla huyo unaedai mchumba wako ni malaya wa kutupwa, tena muogope kama ukoma. Maana ikiwa hutakubali kuwa umeshapoteza mapema basi jiandae kujinyonga kama sio kufa kwa pressure, pesa inatafutwa, ila furaha ya moyo haiuzwi popote, ni kweli ulimhudumia lkn waweza pia kumlisha mbwa wako mwenyewe na siku akakudhuru pia, haya yapo, mapenzi ndivyo yalivyo wala usione kama ni jipya kwako. Ikiwa mwanamke wako ana udhubutu wa kumwambia mtu eti nimeloa, dah. Halafu wanawake kuweni makini, huu mtindo wa watu kujifanya wanajua mapenzi ni storry tu kama za kina shigongo, wengi mnapotea na kuvunja ndoa zenu pasipo kujielewa, iweni na maarifa ili msiangamie.
Umeongea vema kiongozi kama ana masikio atakusikia
 
tukisema tupige kura nina uhakika huyo jamaa atakuwa ni GuDume maana huyu jamaa kwa sounds za mitaa namkubali sana. ila kama anafanya hivyo aache tu amwachie jamaa mchumba wake katoka naye mbali. bro gudume nakuomba mwache tu tu huyo dada... kwa asilimia 98 nahisi ni wewe na kama si wewe atakuwa general galadudu au genty.... maana nyie ndo watu wa stories za mikasi sana. hasa ukianza simulia stories zako za kuwachanja dada zetu.... kuna wanawake kweli wanapenda wanaume wahuni kama wewe... wapo. nami nafaham hilo.ila kama jamaa anakuomba usimnanii mwanamke wake mwachie tu bro. we unaweza pata mwingine. au wengine.
 
Yani upo nae yapata miezi mitano sasa, afu unadai umemsomesha chuo, chuo kipi au short course za computer, au wakati unamsomesha alikuwa dada ako sio mchumba. Najaribu kutafakar tu hapa si kwa ubaya, inaweza ikawa ukweli usemacho lakini presentation yako ni nonsense na haina mantiki.

Wanawake acheni usenge mjue tukiwapa hela wakati mwingine twalala njaa ili uridhike then mnatuyumbisha kiakili hadi tunakuja JF kuanzisha thread. Acheni ujinga
Tumeacha baba
 
Mkuu ila mwenye tatizo ni huyo mchumba ako ebu kaa nae chini umwambie usivyopendezwa na tabia yake halaf gharama gani unataka urudishiwe kila siku wanaume humu mnaambiana mchumba hasomeshwi yaan gharama zako jihesabie umetoa sadaka pole sana
 
Back
Top Bottom