Mi natoa ONYO: Kuna Member wa Humu JF ana mahusiano na mchumba wangu. Tusije Kulaumiana Bure

Mi natoa ONYO: Kuna Member wa Humu JF ana mahusiano na mchumba wangu. Tusije Kulaumiana Bure

Mkuu unapiga mkwara namna hii na wakati bado mchumba,ukifunga nae ndoa si utatumaliza mkuu!

Kingine kuanzia leo tambua ya kwamba mchumba hasomeshwi,kwa mambo yanavyoenda kuna siku huyu mchumba wako atakuja kukutema,utakuja kufa bure mzee
Kwel kbisa mkuu,hawa viumbe siyo wa kuamini hivyo
 
ndo tatizo la kumsomesha mchumba siku zote hasomeshwi kaka na utakuta una ndugu kibao hawajaenda shule kutokana kipato
 
Back
Top Bottom