Jiwe moja ndege wawili, nadhani dem atakuwa ameshaanza kumfuata jamaa ili aombe msamaha... Na jamaa (MWIZI) nae atakuwa ndio anajiandaa kumtafuta jamaa(MUME MTARAJIWA[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] )... anaogopa asije geuzwa wa kike maana hayo ndio malipo...Tatizo sheria za humu sidhani kama zinaruhusu hizo mambo za kutajana.
Ila wacha tu libaki kuwa jiwe gizani litakaowapata ndio hao hao huenda wakapunguza.
daaah.. ila wananiharibia sana maana huyu jamaa ye anaona mi ndo mbaya wake... na anaamini hivyo kabisa. mimi ni mpole sina maneno na watu sina makuu.
Mi mwenyewe nimeshangaa sana Kaka yangu kuhusishwa na hizo mambo.daaah.. ila wananiharibia sana maana huyu jamaa ye anaona mi ndo mbaya wake... na anaamini hivyo kabisa. mimi ni mpole sina maneno na watu sina makuu.
Jiwe moja ndege wawili, nadhani dem atakuwa ameshaanza kumfuata jamaa ili aombe msamaha... Na jamaa (MWIZI) nae atakuwa ndio anajiandaa kumtafuta jamaa(MUME MTARAJIWA[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] )... anaogopa asije geuzwa wa kike maana hayo ndio malipo...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] natamani iwe hvyo ila basi tuHivyo Pacha wa mie unatamani mtoa uzi amtaje ili game liishe. Si ndio? Hahahaaa
Etiieee. Basi my dear. Wacha na mie nisubiri.[emoji23] [emoji23] [emoji23] emmy dear muache atajwe wengine watajifunza kupitia huyu
Wakimtaja naomba uniite mpendwaEtiieee. Basi my dear. Wacha na mie nisubiri.
Hahahaaaa. Ila Pacha mie hofu yangu akitajwa ujue hapatakalika hapa.[emoji23] [emoji23] [emoji23] natamani iwe hvyo ila basi tu
Hahahaaaa. Usijali my dear.Wakimtaja naomba uniite mpendwa
Veveee....wacha kutuletea huu ujinga wa Muddy hapa...!inshallah... mi sitaongea zaidi. nimezipokea kashfa zako.
View attachment 634235 View attachment 634235
Du! Pole mwayawadau mbona mnaniharibia status yangu sana.... kila sehemu nanyooshewa vidole kuwa ni gudume.. kwa nini mnanisimanga na kunifadhaisha hivi. kiukweli nimefadhaishwa sana, nimesikitishwa sana, nimenyanyasika sana. hii ni kampeni ya watu flani kutaka kunichafulia jina langu baada ya kuona nimekuwa mfano mwema wa kuigwa katika jamii. leo mtu from nowhere anani unganishia na mambo ya kipuuzi. nami nasema kutawaka moto..kweli nawaambia kutawaka moto. huyo chizi kama ananilenga mimi nshamwambia NMESHAVUKA MAJI YA SHINGO BILA PU**U KULOA. lakini pia wadau acheni kuniharibia kuninyooshea mimi vidole.mimi sina makuu na mtu.