Mi natoa ONYO: Kuna Member wa Humu JF ana mahusiano na mchumba wangu. Tusije Kulaumiana Bure

Mi natoa ONYO: Kuna Member wa Humu JF ana mahusiano na mchumba wangu. Tusije Kulaumiana Bure

Huyu jamaa wako kwenye uchumba kwa miezi mitano!!halafu anasema amemlipia ada huyo mchumba wake ambaye ame graduate miaka miwili nyuma?? Alikuwa analipa ada Kama Nani before hawajawa wachumba?? Ushauri wangu tangulia kwa Dr hivi vi ben ten havina huruma!!
 
Unakuaje na mchumba unamuamini hvyo? Huku vicheche vingi wacha watu wajipigie tuu
 
Ushauri wa bure:!Mchumba si mke, sidhani kama una uhalali naye kiasi hicho ingawa stori ya jinsi ulivyomhudumia inatoa dhahania ya kustahili kuhurumiwa na kuachiwa mtu wako,
Pili; huyo mchumba wako kakuonesha tabia yake mapema, amua kwa busara usijeumia zaidi ukiwa ktk ndoa.
 
Tatizo sheria za humu sidhani kama zinaruhusu hizo mambo za kutajana.

Ila wacha tu libaki kuwa jiwe gizani litakaowapata ndio hao hao huenda wakapunguza.
Jiwe moja ndege wawili, nadhani dem atakuwa ameshaanza kumfuata jamaa ili aombe msamaha... Na jamaa (MWIZI) nae atakuwa ndio anajiandaa kumtafuta jamaa(MUME MTARAJIWA[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] )... anaogopa asije geuzwa wa kike maana hayo ndio malipo...
 
inshallah... mi sitaongea zaidi. nimezipokea kashfa zako.
IMG-20171120-WA0002.jpg
IMG-20171120-WA0002.jpg

daaah.. ila wananiharibia sana maana huyu jamaa ye anaona mi ndo mbaya wake... na anaamini hivyo kabisa. mimi ni mpole sina maneno na watu sina makuu.
 
Jiwe moja ndege wawili, nadhani dem atakuwa ameshaanza kumfuata jamaa ili aombe msamaha... Na jamaa (MWIZI) nae atakuwa ndio anajiandaa kumtafuta jamaa(MUME MTARAJIWA[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] )... anaogopa asije geuzwa wa kike maana hayo ndio malipo...

Hahahahaaa. Yaani hapo ndio tunapojisemea kale kausemi kwamba kimeshanuka.
 
wadau mbona mnaniharibia status yangu sana.... kila sehemu nanyooshewa vidole kuwa ni gudume.. kwa nini mnanisimanga na kunifadhaisha hivi. kiukweli nimefadhaishwa sana, nimesikitishwa sana, nimenyanyasika sana. hii ni kampeni ya watu flani kutaka kunichafulia jina langu baada ya kuona nimekuwa mfano mwema wa kuigwa katika jamii. leo mtu from nowhere anani unganishia na mambo ya kipuuzi. nami nasema kutawaka moto..kweli nawaambia kutawaka moto. huyo chizi kama ananilenga mimi nshamwambia NMESHAVUKA MAJI YA SHINGO BILA PU**U KULOA. lakini pia wadau acheni kuniharibia kuninyooshea mimi vidole.mimi sina makuu na mtu.
Du! Pole mwaya
 
Back
Top Bottom