Mi natoa ONYO: Kuna Member wa Humu JF ana mahusiano na mchumba wangu. Tusije Kulaumiana Bure

Hahahaaaa. Ila Pacha mie hofu yangu akitajwa ujue hapatakalika hapa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] pacha hutaki tuongeze siku kwa kicheko bwana
Maana majibu ya watu hapa itabidi ushikilie mbavu
 
Mzee na hizo hasira sasa mpaka avatar yangu umeicopy mzee si onyo limefika atakwachia bhana
 
Pole sana mkuu inaonyesha wewe unaweza kuuwa hivi hivi..
 
Urudishiwe gharama za nini wakati siku zote ulikuwa unatomba we ulifikiri kuna maku ya bure?
 
Nimelazimika kusema hili ingawa najua wengine mnaweza kukebehi na kunidhihaki. Haina shida
kibaya sana kudandia wake za watu gharama aliyolipa ilikuwa kubwa na mpaka sasa anaendeleakulipa toka mwaka 2015.

Nimetoa tu hili kama angalizo.
Pole sana aisee, ila sidhani kama hii ndo njia sahihi, huyo mwanamke si uachane naye tu maana kwa namna hii utateseka sana, kama humwamini achana naye, kama hakusikilizi basi chukua hatua.
 
Mleta thread hata wewe nnataka nikugonge kabisa achilia mbali huyo demu wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…