Clkey
JF-Expert Member
- May 29, 2014
- 5,718
- 15,347
[emoji23] [emoji23] [emoji23] pacha hutaki tuongeze siku kwa kicheko bwanaHahahaaaa. Ila Pacha mie hofu yangu akitajwa ujue hapatakalika hapa.
Maana majibu ya watu hapa itabidi ushikilie mbavu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] pacha hutaki tuongeze siku kwa kicheko bwanaHahahaaaa. Ila Pacha mie hofu yangu akitajwa ujue hapatakalika hapa.
Mzee na hizo hasira sasa mpaka avatar yangu umeicopy mzee si onyo limefika atakwachia bhanawadau mbona mnaniharibia status yangu sana.... kila sehemu nanyooshewa vidole kuwa ni gudume.. kwa nini mnanisimanga na kunifadhaisha hivi. kiukweli nimefadhaishwa sana, nimesikitishwa sana, nimenyanyasika sana. hii ni kampeni ya watu flani kutaka kunichafulia jina langu baada ya kuona nimekuwa mfano mwema wa kuigwa katika jamii. leo mtu from nowhere anani unganishia na mambo ya kipuuzi. nami nasema kutawaka moto..kweli nawaambia kutawaka moto. huyo chizi kama ananilenga mimi nshamwambia NMESHAVUKA MAJI YA SHINGO BILA PU**U KULOA. lakini pia wadau acheni kuniharibia kuninyooshea mimi vidole.mimi sina makuu na mtu.
CHIZI MAARIFA.... nimejaribu tu kulitafsiri jina lakoinshallah... mi sitaongea zaidi. nimezipokea kashfa zako.
View attachment 634235 View attachment 634235
Pole sana mkuu inaonyesha wewe unaweza kuuwa hivi hivi..Nimelazimika kusema hili ingawa najua wengine mnaweza kukebehi na kunidhihaki. Haina shida nimeamua kusema iwe kama angalizo maana kuna siku nitakuja tu kufanya reference. Sisi wengine hatujui sana kuzungumza au kurushiana maneno. Hii naweka tu kama ushahidi ili nikimfanya mtu kama ambacho nilimfanya shababy mmoja mwaka 2015 tusilaumiane.
Mimi nina mchumba ambaye kwa sasa ni mwezi wa 5 nipo naye. Kazi zangu ni za safari safari sana, so kila wakati nakuwa safarini ili niandae mazingira mazuri ya maisha yetu ya ndo hasa ukichukulia ye mchumba wangu amemaliza chuo mwaka wa 2 sasa hana kazi. Yeye ana muda mwingi sana so anakuwa home na sometime mishe mishe zake ila ni muda sasa naona amezoeana na member mmoja humu ndani ambaye amekuwa mara nyingi akiuza sana chai na habari zake za ajabu ajabu. Ni mhuni na baradhuli tu huyo member wala si mtu wa staha hata kidogo mimi ni mtu mstaraabu sana na mpole.
Nilianza kuona kila mara huyo member akianzisha thread huyu mchumba wangu analike na anachangia sana na huwa akisoma anasoma anacheka mpaka machozi yanamtoka muda wote akiwa nami anajisahau anaaanza kusoma threads za huyo jamaa baadaye nikamwambia mi sipendi anavyokuwa occupied sana na huyo jamaa mpaka anajisahau anasema "ila wanaume wengine bwana yaani ukikaa na huyu kaka itakuwa mtu hata stress huana unacheka tu" hilo liliniudhi maana asili yangu mimi ni mtu ambaye nipo serious na sina sana stories hasa za kipuuzi puuzi kama za huyo member humu ndani za ngono na jinsi wanavyotendana na wanawake.
Siku moja kweli ananiambia hebu siku moja nasi tujaribu hii style ya .... nikashangaa katamka jina nikamwambia kwa upole kuwa kwa nini anakuwa obsessed na huyo jamaa mhuni na malaya?" akaniambia "aaah.. Nawe baby una mind vitu vidogo tu mtu mwenyewe hata simjui" juzi juzi hapa akawa ananambia unajua good girls wanapenda sana bad boys..sikutilia maanani lakini nlianza kuona mashaka pale nilipoona anasema anataka aonane na huyo mtuniliingia kwenye inbox texts zake jamiiforums nikakuta anawasiliana naye sana wanacheka wanataniana na sometime wanachat maneno mpaka huyu mchumba anasema ameloana hili lilinikwaza hasa anaposema "wee..naomba nikuone live maana una vituko sana"
Nimeamua kuwa hili suala niliweke wazi huyu dada mimi nlishamhudumia sana chuo mpaka amemaliza ni mimi nlikuwa natoa ada kumwonesha tu kuwa nipo serious pesa za kutoka kwa wazazi wake alikuwa anatumia kufanyia mambo yake na nilimruhusu nikamwambia basi aangalie kama anaweza zifanyia kazi flan ya kuzalisha, she didnt do anything progressive with the money.
Leo hii mwendawazimu mmoja humu ndani anataka kuja kufanya masikhara na mchumba wangu its ok..mi naweza kumwachia ila afaham atarudisha pesa zangu zote nlizotumia kama si direct bas itakuwa indirect najua kwa nini nasema hivi na simtishii...yeye si mwanaume?ajaribu tu kumgusa huyu mchumba wangu kimapenzi atanifahamu kuna post iliwekwa humu kama sikosei mwaka jana..Kuna mtu alifanywa kitu kibaya sana kudandia wake za watu gharama aliyolipa ilikuwa kubwa na mpaka sasa anaendeleakulipa toka mwaka 2015.
Nimetoa tu hili kama angalizo.
Mambo ni moto ha ha ha....inshallah... mi sitaongea zaidi. nimezipokea kashfa zako.
View attachment 634235 View attachment 634235
Teh teh teh yanii nahisi sahv anaumwa tumbo la kuhara si kwa mikwara hii[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mambo ni moto ha ha ha....
Kwa Mikwara hii lazima huyo mhusika akimbie
Ha ha ha yaani ni vituko!Teh teh teh yanii nahisi sahv anaumwa tumbo la kuhara si kwa mikwara hii[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Numbisa nimenuna ujue. [emoji17] [emoji17]
Urudishiwe gharama za nini wakati siku zote ulikuwa unatomba we ulifikiri kuna maku ya bure?mi nipo tayari kuachana naye ... na gharama zangu ningependa zirudishwe...najua hazitarudishwa direct ila zitarudishwa kwa njia nyingine....kabisa hata kama si mimi nitakayepokea hizo pesa....ila zitarudishwa tu. wanawake nao sometime wengine wana udhaifu wao ambao wanaume kadhaa huutumia kwa faida yao. mi nasikitikia tu gharama zangu sababu kabis anlimwambia huyo dada kama hana nia ya kuwa nami aseme ili nisipoteze muda ...akanambia ananipenda na yupo tayari kuishi nami.kazi zangu ni za kusafiri safiri sana sometime nakuwa mbali hata kwa miezi miwili au zaidi lakini ni katika kutafuta pesa. so nitamwacha ila nitakayemwachia atalipa muda na pesa zangu.... sitomwacha salama.
Inabidi tu Pacha , hivyo wacha tuongeze siku za kuishi sie.[emoji23] [emoji23] [emoji23] pacha hutaki tuongeze siku kwa kicheko bwana
Maana majibu ya watu hapa itabidi ushikilie mbavu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mie wala sichelewi my dear.Ayaaa nilisahau my dear. Tabasamu basi hata kidogo tu
Pole sana aisee, ila sidhani kama hii ndo njia sahihi, huyo mwanamke si uachane naye tu maana kwa namna hii utateseka sana, kama humwamini achana naye, kama hakusikilizi basi chukua hatua.Nimelazimika kusema hili ingawa najua wengine mnaweza kukebehi na kunidhihaki. Haina shida
kibaya sana kudandia wake za watu gharama aliyolipa ilikuwa kubwa na mpaka sasa anaendeleakulipa toka mwaka 2015.
Nimetoa tu hili kama angalizo.
Hapa kuna kila aina ya watu pacha wa mie,mie nasomaga nacheka pekee yangu nakwambiaInabidi tu Pacha sababu hivyo wacha tuongeze siku za kuishi sie.
Ila Pacha majibu ya humu wacha kabisa.
Ndo hapo sasaHa ha ha yaani ni vituko!
Si angemfanyizia huyo mchumba wake....maana ndiye aliyeshawishika kwa vitu visivyo na maana.
Umeonaee. Mi pia Pacha hakujawahi nikasirisha huku yaani hata kama una kamnuno kako basi ukitembelea tembelea majukwaani lazima utapata cha kukuchekesha.Hapa kuna kila aina ya watu pacha wa mie,mie nasomaga nacheka pekee yangu nakwambia