Haswaaaaa. Na huo ndio ukweli Pacha wangu.Hatuhami ng'oooooo burudani zote tunapata hapa hapa
Usiusemee moyo wa mtu! Afterall huyu GuDume hakujua kuwa huyu bibiye ni nke ya ntu! Jambo la msingi awache kuhangaika naye ajaribu kwa wake zetu ambao sie viuno vipo upande.Mi mwenyewe nimeshangaa sana Kaka yangu kuhusishwa na hizo mambo.
Il nisiisemee nafsi ya mtu huenda ikawa pia kaka. [emoji125] [emoji125]
Lakini funga PM usije ukatumbukia kwa GuDume na jamaa yako akalete albadiriKabisa Pacha na ndio sababu humu hatuhami yaani tupo na tutaendelea kuwepo sababu kama ni burdani tunazipata bana. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
GUD......E hahaha nmekisia tu lolDuh! Hebu kiongozi tutajie kajina ata herufi tatu tu za mwanzoni za jina la huyo member anaemfanya kulowana chini mchumba wako....
Usiusemee moyo wa mtu! Afterall huyu GuDume hakujua kuwa huyu bibiye ni nke ya ntu! Jambo la msingi awache kuhangaika naye ajaribu kwa wake zetu ambao sie viuno vipo upande.
Mkwara mbuzi huuHivyo best umeudharau huu mkwara?
Suzie we hauna mchumba[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Muulize pacha wako. Kuhusu nyekundu, ndiyo mkuu na tunajikubaliHivyo imeshakuwa dhahiri ni huyo uliyemtaja mkuu. Au nimepitwa sehemu. [emoji15]
Hivyo na kiuno chako kipo upande Mkuu. [emoji23]
Hahahaaa. PM nimeshaifunga zamani sanaaaa na kwa upande mwingine jamaa yangu mie Mzungu hawezi hangaika na mtu atahangaika na mie ambaye ndio nitakuwa nimesababisha.
Uyo uyo hahaha....me mtu wa kwanza kunijia akilini ni uyo
Hahahaa. Mkuu sio kwa kutaka kuvunja mbavu zangu mchana huu. Pole sana hivyo watu kama hawa wanaotajwa humu hawakupi presha kabisa kwa sababu ushatenguka zamani. [emoji23] [emoji23]Muulize pacha wako. Kuhusu nyekundu, ndiyo mkuu na tunajikubali
GUD......E hahaha nmekisia tu lol
inshallah... mi sitaongea zaidi. nimezipokea kashfa zako.
View attachment 634235 View attachment 634235
haaahaaaaDuh! Hebu kiongozi tutajie kajina ata herufi tatu tu za mwanzoni za jina la huyo member anaemfanya kulowana chini mchumba wako....