Mi natoa ONYO: Kuna Member wa Humu JF ana mahusiano na mchumba wangu. Tusije Kulaumiana Bure

Mi natoa ONYO: Kuna Member wa Humu JF ana mahusiano na mchumba wangu. Tusije Kulaumiana Bure

Mi mwenyewe nimeshangaa sana Kaka yangu kuhusishwa na hizo mambo.

Il nisiisemee nafsi ya mtu huenda ikawa pia kaka. [emoji125] [emoji125]
Usiusemee moyo wa mtu! Afterall huyu GuDume hakujua kuwa huyu bibiye ni nke ya ntu! Jambo la msingi awache kuhangaika naye ajaribu kwa wake zetu ambao sie viuno vipo upande.
 
Usiusemee moyo wa mtu! Afterall huyu GuDume hakujua kuwa huyu bibiye ni nke ya ntu! Jambo la msingi awache kuhangaika naye ajaribu kwa wake zetu ambao sie viuno vipo upande.

Hivyo imeshakuwa dhahiri ni huyo uliyemtaja mkuu. Au nimepitwa sehemu. [emoji15]

Hivyo na kiuno chako kipo upande Mkuu. [emoji23]
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Sasa Wewe baba unaogopa competition? Kama mchumba Anapenda mtu charming, Wewe Endelea kuvuta mdomo hapo kwa sababu ulimpa support alipokuwa chuo. Mapenzi hayataki ubabe. Msikilize mwenzio, jiongeze umpe kitu roho inataka.
 
Lakini funga PM usije ukatumbukia kwa GuDume na jamaa yako akalete albadiri
Hahahaaa. PM nimeshaifunga zamani sanaaaa na kwa upande mwingine jamaa yangu mie Mzungu hawezi hangaika na mtu atahangaika na mie ambaye ndio nitakuwa nimesababisha.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Acha ujinga wewe! Mchumbaako au mkeo? Bado hujamuoa unatoa mapovu kiasi hicho, ukimuoa kbs na ukagundua kuwa anagegedwa si utajinyonga ww! Au ndio walewale wa I....nga!?
 
habari dada emmyta? nimesikitishwa sana na maneno ninayotumiwa huku ndani.. huyu chizi na wenzie kadhaa wananisakizia jambo la kipuuzi kabisa. sabab tu mi napenda sana K basi inaonekana mimi tu ndo mharibifu wakati hao wake na wachumba wa watu wakija kwangu wala hawasemi hayo mambo kuwa wameolewa au wamechumbiwa....
Hahahaaa. PM nimeshaifunga zamani sanaaaa na kwa upande mwingine jamaa yangu mie Mzungu hawezi hangaika na mtu atahangaika na mie ambaye ndio nitakuwa nimesababisha.
 
nyie watu nyie mnaweza mkanisababishia matatizo makubwa kweli............. jamaa ataje huyo mchumba wake ni yupi. maana sasa tutaanza kuogopa kula mademu wa humu kisa atatushusha busha... haina noma watoto wa pwan wanapenda sana mabusha. ni suna. mi akinishusha busha poa tu.

Uyo uyo hahaha....me mtu wa kwanza kunijia akilini ni uyo
 
Muulize pacha wako. Kuhusu nyekundu, ndiyo mkuu na tunajikubali
Hahahaa. Mkuu sio kwa kutaka kuvunja mbavu zangu mchana huu. Pole sana hivyo watu kama hawa wanaotajwa humu hawakupi presha kabisa kwa sababu ushatenguka zamani. [emoji23] [emoji23]

Pacha Clkey uje unipe hii story ya nyekundu kama ni ya siri sana njoo kuleee mi nakusubiri. Hahahaaa.
 
Mkuu,Sikuhizi wapekeake ni mungu tu! Huyo ndo hana mshirika lkn demu hawez kuwa wa pekeako,mke pia ivo ivo na wadada lazma mtambuwe waume sio wenu pekeenu na hata hao mabwana sio wenu pekeenu. Tuvumilianen tu maisha yasonge acha kumaind ishu za mapenz utajiua kwa presha bure.
 
HOYAAAAAAAAAAAAA. HUJAONA PA KUBANDIKA HUU UPUUZI WAKO MPAKA KWENYE POST YANGU? WE AKILI YAKO HAIKO SAWA. NDO MAANA WATU WANAKUCHAPIA TU MCHUMBA WAKO. FALA SANA WEWE..... TENA UKINITIBUA NTAKUVURUGA VURUGA SANA. unabandika vitu vya kipuuzi kwenye post za watu... nishakwambia MI NMEVUKA MAJI YA SHINGO MARA NYINGI TU PASIPO PUMBU KULOA. we hunitishi kitu kabisa.

inshallah... mi sitaongea zaidi. nimezipokea kashfa zako.
View attachment 634235 View attachment 634235
 
Back
Top Bottom