Mi natoa ONYO: Kuna Member wa Humu JF ana mahusiano na mchumba wangu. Tusije Kulaumiana Bure

Kati ya kosa baya ambalo kama binadamu unaweza ukalifanya katika maisha yetu, ni hili la kumsaidia watu/mtu katika jambo/shida/changamoto fulani huku ukitegemea malipo/fadhila kutoka kwake.

Mfano, hili la kumsomesha mchumba, aisee ni bonge ya kosa rafiki yangu hatari sana katika afya binadamu yoyote yule.

Watu wengi sana wamelizwa katika hili. Sitaki kuchimbua Sana, ila ielewe kuwa unapoamua kusaidia, saidia kwa moyo mmoja lakini usitegemee malipo/fadhila kutoka kwa uliyemsaidia, labda itokee tu by chance lakini siyo lazima.

Kiuharisia, fadhila/malipo ya msaada hutoka kwa watu/mtu mwingine kabisa
. Ndiyo maana ya ule usemi usemao "tenda wema nenda zako, usingoje shukrani".

Nawasilisha.
 
Hahaha acha dhambi ww nan kakwambia busha ni suna?
 
Hahahahahah teheheheh pacha ngoja kwanza nimalize kucheka hiyo story ya nyekundu nitakusimulia nikija Dar tulia tuliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Beira ww ndo mleya mada zako za kuwachanganya wachumba za wstu
 
Hahahahahah teheheheh pacha ngoja kwanza nimalize kucheka hiyo story ya nyekundu nitakusimulia nikija Dar tulia tuliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Hahahaaa. Cheka Pacha ila usipaliwe tu.

Ujue nakusubiri kwa hamu na nilivyo chaumbea hapa nina kimuhe muhe cha hatari yaani wacha kabisa.
 
Hahahaaa. Cheka Pacha ila usipaliwe tu.

Ujue nakusubiri kwa hamu na nilivyo chaumbea yaani wacha kabisa.
Yaani huu uzi umenichekesha sana sio siri nmecheka hadi staff wenzang wananishangaa,safari hii sikudanganyi naja kweli nadhani baada ya 3 weeks hivi pacha
 
Naomba utaje jina la huyo mwanaume anaye muhusudu... nahisi atakuwa ananisaliti na mimi pia.
 
Hahahahahaj..........

GuDume unajihami??!! Ndio ukome kulowanisha wa wenzio kwa nyuzi zako zenye utata

Na mie nikikuona unakatiza kitaani kwetu nakutoa mkuku
 
Accha ujinga,kwanza tumeshasema mwanake hasomeshwi humu wewe husikii.Okay umemsomesha ili awe mtumwa wako?Kama anampenda jamaa acha aende unahangaika kulinda bahari boya wewe.Anamuambia amelowa papuchi?u are damn stupid.Acha matisho ya wanaume wa daresalaam,matisho sisi tumezowea,sasa basi kabla hajaharibikiwa,msaada mdogo nao kupa,huyo demu wako ni changu ndio maana anachat na huyo mtu,na si huyo tu kuna watu wengi anachat nao,na ukisafiri ana mtu,cha kufanya mtaje humu huyu changu na huyo jamaa tuwape ushauri kabla hawajaharibikiwa.
 
Mbona na bahati nzuri yupo humu na wanamlowanisha kila siku! Nawaachia wenye meno watafune
 
Hahahaaaaa!
 
Mkuu ila mwenye tatizo ni huyo mchumba ako ebu kaa nae chini umwambie usivyopendezwa na tabia yake halaf gharama gani unataka urudishiwe kila siku wanaume humu mnaambiana mchumba hasomeshwi yaan gharama zako jihesabie umetoa sadaka pole sana
Hey....nipo Shunie bana nilikuwa tu katika kupambana na haya maisha...bt I'm back.

Sorry for late replying...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…