Umeongea kibingwaDemu ako mwenyewe kicheche
Anazogoa dogooo!mwanaume analialia mtandaoni!Umeongea kibingwa
Wanamla sana huyo demu wakePoole sana Bwana chizi..lakini ningependa urejee yafuatayo na kujibu maswali ili nipate Mwanga wa kukushauri vizuri.
1.Kwasasa ni mwezi wa TANO upo nae!
Swali:Kwa ubize uliinao umewahi kutenga mda wa kutosha kukaa nae nyumbani walau wiki moja!?
2.Amemaliza chuo miaka miwili ilopita
Swali:Miaka miwili ni miezi 24,ukitoa mitano mlokaa pamoja,miezi 19 ilobaki alikuwa wapi na alijishughulisha na nini!?
3.Unasafiri sana,hivyo mda nwingi anakuwa mpweke nyumbani na Hana kazi ya kumkeep busy
Swali:Unahisi huu ni mfumo salama wa maisha ya majaribio ya ndoa?
4.Umegundua anavutiwa na member humu ndani..na uhusiano wao unatishia afya na uhai wa mahusiano yenu.
Swali:Umemlaumu sana Member (jina umelihifadhi)lakini kwa maelezo yako inaonekana mchumba ndo Chanzo cha ukaribu wao,huoni kwamba kumchukia na kumlaumu huyu member bila kushughulikia udhaifu wa mchumba wako ni uchokozi na kutafuta uadui kwa member asiyekuwa na hatia?(mana pengine hajui kama mdada ni mchumba wako?
5.Umemhudumia sana wakati akiwa chuoni
Swali:Wakati unamhudumia ulijiridhisha kuwa anauhitaji na kuuthamini msaada wako?
Ulijiridhisha anakupenda,yupo tayari kuwa mkeo na ndie mwanamke sahihi kwako au ulifanya kwasababu unauwezo ama ulihisi ulifanya hivyo ndo atakupenda zaidi!?
6.wakati unamhudumia hakutumia frusa ya fedha ya wazazi kwa faida.
Swali:Hukujifunza chochote wala hukugundua chochote!?
Ulimshauri nini bada ya kuona anakiuka miiko ya kujenga maisha ya badae ukizingatia tangu amalize chuo ni miaka miwili sasa hana kazi!?
Majibu sahihi ya maswali haya yatasaidi sana kukufumbua macho na ufahamu wa kufanya maamuzi sahihi.Kila la kheri Chizi Maarifa

Kumbe kile ki mwanaume cha Dar!!!GUD......E hahaha nmekisia tu lol
Inabidi tukukalishe chini mie na Pacha wangu utueleze kinaga ubaga kulikoni hicho kiuno. [emoji2] [emoji2]Yalishang’oka sasa hivi tunakula kwa macho!
Hahahaaa. Hapana mkuu sio mie.Eti lakini wewe ni mhusika katika kuibwa et.
Kwani akioa umeambiwa hawezi tombewa? Hapo ni kuacha huyo mchumba aendelee na kulowanishwaOa chapu chapu ukichelewa wenzio watachukua jumla.
We huna maana. Kwahiyo aendelee kufurahia demu wake anavolowanishwa?Hii ya leo kali
Wewe upo nae kimwili unashindwa kumpa raha unakuja kumtishia anayempa maneno matamu JF eeeeeeh
Ukiachwa usimlaumu mtu maana hata mchumba atakuona wewe bomu kweli kweli sasa hivi
Hahahahaj leo leonmegundua nyie watu mnaniombea mabaya sana..hamwoni kwua sasa ndo mnampa uthibitisho kabisa????????????????????????? nmewakosea nini mimi jamani mpaka mnaniombea mabaya hivi.......................
Hv Dada kwel inawezekana wanaume wote tukawa na maneno matamu katika level moja? Si kuna kuzidiana ? Nyie wanawake mnatutesaga sana mjue