Mi natoa ONYO: Kuna Member wa Humu JF ana mahusiano na mchumba wangu. Tusije Kulaumiana Bure

Poole sana Bwana chizi..lakini ningependa urejee yafuatayo na kujibu maswali ili nipate Mwanga wa kukushauri vizuri.

1.Kwasasa ni mwezi wa TANO upo nae!

Swali:Kwa ubize uliinao umewahi kutenga mda wa kutosha kukaa nae nyumbani walau wiki moja!?

2.Amemaliza chuo miaka miwili ilopita

Swali:Miaka miwili ni miezi 24,ukitoa mitano mlokaa pamoja,miezi 19 ilobaki alikuwa wapi na alijishughulisha na nini!?

3.Unasafiri sana,hivyo mda nwingi anakuwa mpweke nyumbani na Hana kazi ya kumkeep busy

Swali:Unahisi huu ni mfumo salama wa maisha ya majaribio ya ndoa?

4.Umegundua anavutiwa na member humu ndani..na uhusiano wao unatishia afya na uhai wa mahusiano yenu.

Swali:Umemlaumu sana Member (jina umelihifadhi)lakini kwa maelezo yako inaonekana mchumba ndo Chanzo cha ukaribu wao,huoni kwamba kumchukia na kumlaumu huyu member bila kushughulikia udhaifu wa mchumba wako ni uchokozi na kutafuta uadui kwa member asiyekuwa na hatia?(mana pengine hajui kama mdada ni mchumba wako?
5.Umemhudumia sana wakati akiwa chuoni

Swali:Wakati unamhudumia ulijiridhisha kuwa anauhitaji na kuuthamini msaada wako?
Ulijiridhisha anakupenda,yupo tayari kuwa mkeo na ndie mwanamke sahihi kwako au ulifanya kwasababu unauwezo ama ulihisi ulifanya hivyo ndo atakupenda zaidi!?

6.wakati unamhudumia hakutumia frusa ya fedha ya wazazi kwa faida.
Swali:Hukujifunza chochote wala hukugundua chochote!?
Ulimshauri nini bada ya kuona anakiuka miiko ya kujenga maisha ya badae ukizingatia tangu amalize chuo ni miaka miwili sasa hana kazi!?

Majibu sahihi ya maswali haya yatasaidi sana kukufumbua macho na ufahamu wa kufanya maamuzi sahihi.Kila la kheri Chizi Maarifa
Wanamla sana huyo demu wake
 
  • Thanks
Reactions: BAK
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha mkwara bob kutombewa Kitu cha kawaida
 
Yalishang’oka sasa hivi tunakula kwa macho!
Inabidi tukukalishe chini mie na Pacha wangu utueleze kinaga ubaga kulikoni hicho kiuno. [emoji2] [emoji2]

Hatuwezi kukubali uendelee kuwa hivyo aisee.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hii ya leo kali

Wewe upo nae kimwili unashindwa kumpa raha unakuja kumtishia anayempa maneno matamu JF eeeeeeh

Ukiachwa usimlaumu mtu maana hata mchumba atakuona wewe bomu kweli kweli sasa hivi
We huna maana. Kwahiyo aendelee kufurahia demu wake anavolowanishwa?
 
nmegundua nyie watu mnaniombea mabaya sana..hamwoni kwua sasa ndo mnampa uthibitisho kabisa????????????????????????? nmewakosea nini mimi jamani mpaka mnaniombea mabaya hivi.......................
Hahahahaj leo leo
 
Hv Dada kwel inawezekana wanaume wote tukawa na maneno matamu katika level moja? Si kuna kuzidiana ? Nyie wanawake mnatutesaga sana mjue

Ha ha haaaaaa
Hayo maswali yageuze kuwa sentensi.
Na sentensi ya mwisho weka na pia wanaume.
 
Pole sana...
Wivu ni kidonda, ukishiriki utakonda...

Hupaswi kuwa na wasi wasi, kama wewe ndiyo unayelala nae, huyo anayemfurahisha kwa thread hana madhara...

Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom