Hichi kijamaa Id zake nazijua na tushamshitukia.....teh hee hee.
..we ni genius.,umelisanukia senge linapenda atensheni hili;
.id zake zote!
Hapa kawaokota mapimbi!
Mkuu umenena...wanawake walio wengi wana akili za kuamini wajinga,wapuuzi na matapeli wa mapenzi.Yakiwakuta,hawasimulii waume zao bali marafiki zao wa kike.Mkuu, kama ni kweli uyasemayo naomba nikushauri jambo kitaalamu, huyu mwanamke sio mke na nikwambie tu mshukuru Mungu wako, ujue watu wengi huumia kwa kutokukubaliana na hali, hii imegawanyika sehemu nyingi, kuna watu the way walivyo ni kutokana na ubishi wa kutokukubali hata kama akiambiwa ukweli, kwa jumla huyo unaedai mchumba wako ni malaya wa kutupwa, tena muogope kama ukoma. Maana ikiwa hutakubali kuwa umeshapoteza mapema basi jiandae kujinyonga kama sio kufa kwa pressure, pesa inatafutwa, ila furaha ya moyo haiuzwi popote, ni kweli ulimhudumia lkn waweza pia kumlisha mbwa wako mwenyewe na siku akakudhuru pia, haya yapo, mapenzi ndivyo yalivyo wala usione kama ni jipya kwako. Ikiwa mwanamke wako ana udhubutu wa kumwambia mtu eti nimeloa, dah. Halafu wanawake kuweni makini, huu mtindo wa watu kujifanya wanajua mapenzi ni storry tu kama za kina shigongo, wengi mnapotea na kuvunja ndoa zenu pasipo kujielewa, iweni na maarifa ili msiangamie.
...maamae!kwahiyo ndo unajisifia,ama?Kuna mtu ashanipa sim kama zawadi siku ikawa nongwa anataka sim nilipasua makusudi ndio nikampelekea na yupo Humu hii ataisoma tu na ilimuuma ile
Mbaya
Hahahaaa. PM nimeshaifunga zamani sanaaaa na kwa upande mwingine jamaa yangu mie Mzungu hawezi hangaika na mtu atahangaika na mie ambaye ndio nitakuwa nimesababisha.
Aisee ulifanya umafiaSihami Jamii forums mkwara mziiito et arudishe gharama zako kwani ulilazimishwa kumgaramia kazi unayo na mwaka huu utajinyonga tu no way. Kuna mtu ashanipa sim kama zawadi siku ikawa nongwa anataka sim nilipasua makusudi ndio nikampelekea na yupo Humu hii ataisoma tu na ilimuuma ile
Mbaya na maisha yanasonga mbele hii ni mbwa kala
Mbwa ila kaka ngu huyo dem mwache apite kule pita hiv mchezo umeisha.
...maamae!kwahiyo ndo unajisifia,ama?
..hakyamama ningekuwa mimi ungechezea kifiro bila mate wala mafuta!
Aisee kwa jinsi ulivyo nahisi tunaendana kabisa napenda mabinti kama ww yaani wawe kauzu napenda Yaani.Unyama unyama kwenye mapenz sijawaicheka na Kima hata kidogo ukileta umburula lazma uje kufanyiwa kituko mpaka uhisi kumeza chupa na huji nisahau kuna mwenzio ashafanyiwa umafia hawez sahau hapaa chezea toto toka Kigali.
Aisee kwa jinsi ulivyo nahisi tunaendana kabisa napenda mabinti kama ww yaani wawe kauzu napenda Yaani.
Wala mm sijamanisha kama ulivyo sema ww, nakujua sana ww ni mtu wa aina ipi. Ila mm nilipenda ukauzu wako yaani napenda mabinti wa hivyo. Sijamanisha nakutaka ww aisee nakujua A to Z sikuwez hata kidogo.Ah sihitaji mtu baba angu sitak kupasuka kichwa nikiskia ham natafuta mtu tunmlizana kila mtu anasepa mbali huko baasi
Wala mm sijamanisha kama ulivyo sema ww, nakujua sana ww ni mtu wa aina ipi. Ila mm nilipenda ukauzu wako yaani napenda mabinti wa hivyo. Sijamanisha nakutaka ww aisee nakujua A to Z sikuwez hata kidogo.