Mi natoa ONYO: Kuna Member wa Humu JF ana mahusiano na mchumba wangu. Tusije Kulaumiana Bure

Mi natoa ONYO: Kuna Member wa Humu JF ana mahusiano na mchumba wangu. Tusije Kulaumiana Bure

Eeee, jamani msimpuuze huyu Jamaa, seems yuko serious kama kuna MTU anadate na mchumba wake aache, huwa madhara ni makubwa hatupendi mtu apungue humu
 
Kiherehere chake ndio kitasababisha avuliwe chupi muda sio mrefu. Hizo safari zako za mara kwa mara utalea sana watoto ambao sio waku, jifariji tu kwakuwa kitanda hakizai haramu.
 
Kumbe mchumba? Mi nilidhani mke na isitoshe hii ni CHAI tu, uko nae miez 5 lakini ulishamuhudumia hadi ada na hela za matumizi

Jf inavituko acha demu wako agongwe tu, huna romantic talks
 
Umeonaee. Mi pia Pacha hakujawahi nikasirisha huku yaani hata kama una kamnuno kako basi ukitembelea tembelea majukwaani lazima utapata cha kukuchekesha.
Sio kimoja tu pacha, yaani ni vingi mnooooo,kuna comment ukisoma unasema hivi huyu mtu akili yake ikoje au kawaza nn, sema yote ni yote basi burudani tupu
 
Mke/Hasomeshwi boss.

Na huyo msela anaerukia vyako aache chap, sio smart sana. Ukishashtukiwa wacha.

Kwako mtoa mada. Huyo mpenzi wako kama

analowanishwa tu na maneno ya asiyemjua sio mtu poa sana kwako.

Anadiriki kukufananisha/kukulinganisha na asiemjua kisa tu story sio mtu poa sana kwako.

Anakuletea hizi za "Good Gils wanapenda sana Bad Boys" na wewe sio bad boy, sio mtu poa sana kwako.

Count your losses and go ingali mapema bado una nguvu, uking'ang'ania sans kwa mjeledi mbeleni utalia, muulize Mugabe hasara anayopewa na Grace leo.

Na wakati unafikiria kuchimba kaburi la kisasi, chimba mawili na la kwako
 
Umelipa ada, umegharamia vingi ila hesabu hivyo umevitoa sadaka.

Kama kashindwa kukusikiliza ukisema kitu fulani hupendi, yeye akaamua kukifanya tena. Tayari ni dharau hizo inaonesha hataki aende unavyotaka wewe, sasa jiulize huo uchumba wa kujichunga sana ili mwenza asije ona kasoro akasitisha ndoa. Ndo anafanya namna hiyo, je akija kuipata hiyo ndoa kawa amepata kila uhakika wa kuwa mke wa mtu. Ataacha kukusikiliza mangapi? Kama jambo dogo hilo linamshinda.

Kimtazamo wangu na si lazima uukubali, huyo si mke wa kuoa. Kama kafikia umemwonya na haachi maana yake huwezi mrekebisha. Usijipe tabu ndugu anua nanga, ondoa meli ukaweke nanga bandari nyingine.

Akikutana na huyo jamaa jua ataliwa kama kafikia kumwambia kamlowesha, hii maaana yake anajiona yupo huru zaidi akiongea na jamaa. Vipi akikutana naye?
je unaweza kuzuia hilo? Maana mtu mzima hachungiki ukumbuke hutakuwa naye kila wakati, andika maumivu hapo.

Kumpiga mikwara huyo jamaa haisaidii kitu kama mwanamke hakusikilizi, ndiyo maana nikakwambia hesabu gharama zako ni sadaka na Mungu atakulipia kwa kukujalia mchumba mzuri
 
ukiona mbwa wako anapgwa xana....fungia ndani....usitake majirani wajifungie ili mbwa wako azurure......kitaalam tunaiita EX BOYFRIEND ANHILATOR TECHNIQUE
 
Sasa utagimbana na wangapi mze achana nae kakosa sifa za kuwa mke mtarajiwa lkn fahamu hili hapo alipo anahaki yakumchagua mtu ambae anaona kuwa anampa kile kinachomfrahisha ndani na nje cyo ujisifie tu kuwa unajua kukoroga sana kama anapenda ucheshi nihaki yake apate acha ubabe mapenzi nizaidi ya ichounachofikiri ndugu
 
Pole sana ndugu.... Maneno yako yanaakisi maumivu na uchungu wa hasira ulionao lkn hakuna sababu ya ww kwa kupaniki na kuwa mkali kiasi hicho! Shukuru Mungu umejua hupendezwi na tabia za mchumba wako. Usiwaze kuhusu gharama coz ulihudumia kwa upendo na kwa mapenzi yako mwenyewe! Najua unampenda sana na ndio udhaifu wako mkuu lkn changamoto na mapungufu mengine yasikutoe ufahamu ukasahau mustakabali wa maisha yako ni ktk mtazamo na msimamo wako... Jiulize kabla yake na baada yake nini hatma ya maisha yako? Hisia za mapenzi ni za mapito ndugu... Usiruhusu yakurubuni ufahamu wako! Kaa zungumza naye na ukiona lugha ya mzungumzo haitojengi usione tabu kufanya uamuzi mbadala na nguvu za kutishia ekeza ktk kumtafuta mwingine utakayependezwa naye!!!!
 
IMG_20171120_155428_959.JPG
oya mleta mada soma hiyo nadhani umeelewa ....jitafakari mwenyew kwanza....kuna kitu kwako hakipo sawa then rudi kwa mchumba wako mweke sawa pia
 
Back
Top Bottom