si ndio hapo sasa.Mmmh atataka sikuzingine mkumbushie pia..
aliniacha yeye tena kwa mbwembwe na angekuwa wa uswaz angenilitea matarumbeta kabisaa.huyo alikuwa bado anakupenda........
ndio maana nimesema mi nimeshindwa,siwezi.Kwani kuna tatizo kuwa na urafiki na ex?
Bado anataka kumegwa huyo. Sasa wewe usilete ajizi! Mmege...kama hutaki muunganishie mshikaji.
hahaha! alibeep nikampigia lol!inawezekana alitingisha kiberiti
na kukuta cha gesi lol
nimeshasahau siwezi kurudi nyuma,mbele daima.awali ni awali tu mkaribishe umpe anacho hitaji huyo acha ushamba man
nope.Are you readyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee??!!!!!
inawezekana alitingisha kiberiti
na kukuta cha gesi lol
tuliachana vibaya sitaki hata kumfahamu tena.Nawapenda rafiki zangu lakini sijawahi kuwa na rafiki ambaye ni ex wangu.Hamna ubaya wowote kua marafiki baada ya penzi kufa...unless marafiki zako wote una mapenzi nao!!!
umenielewa asante.Kwakuzingatia mlivyoachana nakushauri uachane na huyo fool. Anataka akuweke spare tire siku moja yakivurugika huko aliko akutumie. achana nae she a fool. Mngekuwa mmeachana kwa amani eg ulienda kusoma nje ya nchi au mkoa mwengine sawa lakini ugomvi na nyodo - that chapter is done bro. achana nae
hili la kumega tu hapana,sitamuunganisha na mtu nafahamu tabia zake,ni mrembo wa haja atapata hukohuko.Bado anataka kumegwa huyo. Sasa wewe usilete ajizi! Mmege...kama hutaki muunganishie mshikaji.
Kuna dada tuliachana vibaya miaka mingi iliopita na muda huo akataka eti tuendelee kuwa marafiki mimi nikampotezea.Sasa kuna siku moja moja tunagongana mitaani na hunilaumu sana eti kwanini simpigii simu au hata sms na siku mojamoja tuweze kupata hata chakula cha mchana.Hivi kuna urafiki baada ya mapenzi kufa ?