Kuna dada tuliachana vibaya miaka mingi iliopita na muda huo akataka eti tuendelee kuwa marafiki mimi nikampotezea.Sasa kuna siku moja moja tunagongana mitaani na hunilaumu sana eti kwanini simpigii simu au hata sms na siku mojamoja tuweze kupata hata chakula cha mchana.Hivi kuna urafiki baada ya mapenzi kufa ?