Mi nilishindwa sijui nyie.

Mi nilishindwa sijui nyie.

Jando na unyago vinakataza kabisa urafiki na huyo ex...kivuli chake tu chatosha sumbua uhusiano wako mpya,sembuse awe rafiki..wengi wamepelekea hiv wapendwa wao(mme/mke na watoto) kisa kuendekeza 'urafiki' na hao ex..pia ni kutokukomaa/kumdhalilisha uliyenaye.
 
mi nataka tukikumbana mjini tusalimiane yeye anataka constant back and forth.

OFF TOPIC: kuna dogo kaazima avatar yako 'ambayo inaendelea kuwepo hapa because of public demand' sijui imeiona ?

Kuwa na msimamso Uporoto1..There is time for everything, muda wenu umeshaisha sasa imebaki historia.

Btw, nimeona hiyo issue ya 'avatar' . kuna watu wanapenda 'ligi ya keyboards'...mwache atanue nayo akichoka ataiacha!!..ha ha
 
Back
Top Bottom