Mi nimefell so naona izi thread zenu za shule naona uchungu kweli..!!!

Yote maisha hao wame enda a.level na bado wpo under NECTA na ww tafta chuo ukapige diploma mbna wengi watakuwa hawaonekani hmu ndan! Na kuna wtakao dunda na waka anza diploma na hyo 5 na 6 ikawa jina tu so usiumize kichwa kiviiile hjui Mungu kakpangia nn
Kula like zangu 100000000 mkuu
 
mi sidhani kama unaakili timamu utadiss how nimewrite na nyie munaonirekebisha nadhan wa mikoa fulan fulan hiv anyway kama hamjui ngoja niwatoe ushamba hiyo ni txt language huwez kuitumia kuandika kwenye paper sawa..??
 
ni kweli ulifaulu vizuri sana.......mimi nipo baraza la mitihani....na mtihani wako nilisahihisha.......tatizo lilikuja ni maandishi yako.......wasahihishaji tulishindwa kuelewa umeandika kirumi au kiebrania.....ni hilo tu.....

Preta upo mpaka uku jukwaa la elimu!!!! mi ndio nimeingia leo,na la michezo sijawai wala sitak kuingia
 
majangaa,, majaanga!! hatari tupu hawa watoto wa siku hizi. mwanangu sijui hata nimfiche wapi..
 
Kama kweli unajiamin fanya tu process za kuristi, na kama utaona ushauri wangu unafaa ujitume zaidi kuliko mwanzo!
 
Mkuu anayejiamini arisiti anaenda mbele tu kama hizo c ni za bio na chem nenda kaapply diploma vyuo vya afya
 
yes mkuu c ni ya chem na bio kwani vyuo vya afya ada sh. ngap?
 
Acha kuwa na maumivu moyoni, amin kutoenda a-level si mwisho wa mafanikio, ukipata chuo kazana mwisho wa cku utafanikiwa
 
kuvunjika moyo kumewapotezea dira watu wengi, amin chuo unapata hata kama huna unayemfahamu, usikiri udhaifu, jipe moyo
 
Acha kuwa na maumivu moyoni, amin kutoenda a-level si mwisho wa mafanikio, ukipata chuo kazana mwisho wa cku utafanikiwa
 
yes mkuu c ni ya chem na bio kwani vyuo vya afya ada sh. ngap?
Usikonde mkuu mi ni mwenzio nimepiga msuri tembo matokeo yamekuja sungura so mimi nimeapply wizara ya afya dip ya clinitial officer na medical labaratory naamini Allah atasaidia tu nitachaguliwa.ila kuhusu vyuo vya private bei yake sijui mi mwenyewe natafuta niapply Ngoja tusubiri wakuu atasaidia
 
thnx maana mungu ndicho alichokujaalia kuchangia....

Wala usimlaumu kwani kwa uandishi wako na uwezo wako wa kujkieleza ni dhahiri kuwa ulichopata ndicho ulichostahili. Tatizo mnafananisha mitihani ya shule, kata, tarafa na ya taifa...Kuongoza sio issue kabisa kwani unaweza kuongoza kundi la wajinga. Jipange upaya uweze kubaini tatizo kwa uhalisia wake ndipo unapoweza kupata dawa.
 
Usikonde mkuu mi ni mwenzio nimepiga msuri tembo matokeo yamekuja sungura so mimi nimeapply wizara ya afya dip ya clinitial officer na medical labaratory naamini Allah atasaidia tu nitachaguliwa.ila kuhusu vyuo vya private bei yake sijui mi mwenyewe natafuta niapply Ngoja tusubiri wakuu atasaidia

Kiukweli inaonesha kuwa mlichopata ndicho mnachostahili kama hamkupendelewa na "supplimentary" waliyoifanya NECTA. Sentensi mbili za kiswahili ni tatizo, je maswali ya insha uliandika nini?
 
Sawa mkuu Ila mi sio mungu kwamba sikosei Ila na maneno yako Hata theluthi moja hayanikatishi tamaa sababu najikubali naweza inshaalah nitapiga medicine tu baadae sababu
ndio malengo niliyopanga
 
Wala usimlaumu kwani kwa uandishi wako na uwezo wako wa kujkieleza ni dhahiri kuwa ulichopata ndicho ulichostahili. Tatizo mnafananisha mitihani ya shule, kata, tarafa na ya taifa...Kuongoza sio issue kabisa kwani unaweza kuongoza kundi la wajinga. Jipange upaya uweze kubaini tatizo kwa uhalisia wake ndipo unapoweza kupata dawa.

mmnh walewale duh...!!!
 
wakuu mm roho inaniuma xna coz naona necta haikunitendea hak ki ukweli nilixma kwa juhud zangu zote na nilikuwa nashika no 1 tangu form 1 mpaka namaliza shule matokeo ya mock nilipata div 2,na matokeo ya pre nation nilipa div 1 kiukweli nilikuwa cfikilii kufel kabxa cha aja matokeo ya necta yalivyotoka shulen kwe2 hakufaulu hata mmoja nikajikuta nimeambulia 4 ya 26 na nilivyockia matokeo yanalekebishwa nilifurah xna lakn kilichotokea ni yale yale nilikuwa na f moja ya cvcs ndiyo iliyobadilika xo matokeo yangu ni C,C,D,D,D,D,D,D,D dah nauzunika kweli niombeen kwa mungu jaman nimeomba vyuo vya serekali nifanikiwe coz uwezo wa kusoma private cna..inauma xna

ahsanteni...!!!!

Lazima ufeli.. kama uli "xoma xana kabxa" nyambaafu...
 
Pole kwa yaliyokukuta ila wakati mwingine jaribu kuwa mstaarabu hicho kiswahili cha xxx kawaandikie watoto wenzio... Kwani ukiandika neno kwa ufasaha kuna tatizo gani??
 
Back
Top Bottom