Mi nimefell so naona izi thread zenu za shule naona uchungu kweli..!!!

Mi mwenzio nilikuwa na div 3 2003 bt leo nasoma Masters na nilianza na certfcat ya ualimu, dp, dgree nw napga Maed, kaza tu kwan kwenda form 5 co lazma unaweza kutumia njia nyingne ya mkato kwa kusoma vyuo vya uuguz au ualimu u-make pesa ndpo ujiendeleze.Kaza dogo na wala usioneshe dalili ya kukata tamaa.Kila la kheri.
 
Thanks!!!
 
Back
Top Bottom