Mi sio mwenzenu tena kwaherini wote

Mi sio mwenzenu tena kwaherini wote

Hapa naona waliofanya tafiti na kupata ratio ya 4:1 itabidi warudi kwenye data analysis maana huenda ratio sahihi ni 4:3!
Mkuu umeandikaje hizo ratio? unaposema 4:1 maana yake ni watu wanne kati ya mmoja kitu ambacho siyo sahihi.

Sahihi ni 1:4 na 3:4.
 
Mkuu umeandikaje hizo ratio? unaposema 4:1 maana yake ni watu wanne kati ya mmoja kitu ambacho siyo sahihi.

Sahihi ni 1:4 na 3:4.
Umejuaje kama ni hivyo!? Unajua Roman unnandika kutoka kushoto kwenda kulia lakini Arabic ni kulia-kushoto!?
 
Ndio nilisoma nikaelewa ila nilijiepusha sana kukariri. Pia haikuwa katika kiwango cha advanced au specialization.
Jibu lilikuwa ni ndiyo au hapana....... Cha ajabu umetumia maneno kibao kuupamba utupu wako wa hesabu.
 
Wewe ulimuona na kubali lakini kula mzigo watuongopea na wajiongopea
 
Jibu lilikuwa ni ndiyo au hapana....... Cha ajabu umetumia maneno kibao kuupamba utupu wako wa hesabu.
Isije nikawa naongea na welewale! Achilia mbali utupu, kwani aliyekwambia nina 'ujazo' wa hesabu ni nani!?
 
Ni juzi juzi tu sio siku nyingi nilitoka mwanza kuja dom kuchek mishe si unajua tena life sio kukaa na kukalili sehemu moja

Mambo sio mambo jana yakawa mambo mtoto wa kitaa nimekutana na bonge la zar pale maeneo ya bunge upande wa pili nilikutana na dada mmoja mkali balaa yaan ni kisu balaa kitu ngoz nyeupe si unajuaga tena sisi kabila letu tunapendaga ngoz nyeupe

Mtoto alikua na vx jeusi kali hatari sikuogopa kumufata nikaomba namba nikapewa jana hiyo hiyo nikapiga mistari kitu kikaingia lain leo asubuhi nimekula mzigo kiulain sana mtoto anafanya kaz ofisi ya bunge ana mshahala mzur tu leo kanitoa 50 ya kula kaenda kazin nami nikarud gheto kulala

Saiv natumiwa msg kila dakika mara kanimis sana mara najua mambo yaan ni balaa tupu naogopa kumupeleka gheto kwangu coz mi nalala chini afu ndo niko naanza maisha

Ukweli ananizid umuri lakin mi sijali nakula vitu vizur na mtoto mzur baadae mkitaka picha nitawatumia

Polen sana masela mimi siyo mwenzenu tena shauri zenu hamunaga hata bahati ya kupendwa
tanzania ina vichaa wengi kuliko tunavyodhani tafiti irudiwe
 
Back
Top Bottom