Hahhahahahhhah...asante mkuuVitu vidogo vidogo kama hivyo visikufanye ukashindwa kujiamin
HahahaaaaHa ha ha haa huyu atakuwa kafukuzwa maana ni zaidi ya waliopo milembe
Mkuu umeandikaje hizo ratio? unaposema 4:1 maana yake ni watu wanne kati ya mmoja kitu ambacho siyo sahihi.Hapa naona waliofanya tafiti na kupata ratio ya 4:1 itabidi warudi kwenye data analysis maana huenda ratio sahihi ni 4:3!
Umejuaje kama ni hivyo!? Unajua Roman unnandika kutoka kushoto kwenda kulia lakini Arabic ni kulia-kushoto!?Mkuu umeandikaje hizo ratio? unaposema 4:1 maana yake ni watu wanne kati ya mmoja kitu ambacho siyo sahihi.
Sahihi ni 1:4 na 3:4.
Ulisoma hesabu za ratio?Umejuaje kama ni hivyo!? Unajua Roman unnandika kutoka kushoto kwenda kulia lakini Arabic ni kulia-kushoto!?
Hali yangu ikibadirika kiashki utanipa?Oyaa twenzetu raha tupu isharudiii bana
Ndio nilisoma nikaelewa ila nilijiepusha sana kukariri. Pia haikuwa katika kiwango cha advanced au specialization.Ulisoma hesabu za ratio?
Jibu lilikuwa ni ndiyo au hapana....... Cha ajabu umetumia maneno kibao kuupamba utupu wako wa hesabu.Ndio nilisoma nikaelewa ila nilijiepusha sana kukariri. Pia haikuwa katika kiwango cha advanced au specialization.
Kwani umeambiwa sina kHali yangu ikibadirika kiashki utanipa?
K unayo ila tatizo kuninyima sana banaaaa....Kwani umeambiwa sina k
Isije nikawa naongea na welewale! Achilia mbali utupu, kwani aliyekwambia nina 'ujazo' wa hesabu ni nani!?Jibu lilikuwa ni ndiyo au hapana....... Cha ajabu umetumia maneno kibao kuupamba utupu wako wa hesabu.
tanzania ina vichaa wengi kuliko tunavyodhani tafiti irudiweNi juzi juzi tu sio siku nyingi nilitoka mwanza kuja dom kuchek mishe si unajua tena life sio kukaa na kukalili sehemu moja
Mambo sio mambo jana yakawa mambo mtoto wa kitaa nimekutana na bonge la zar pale maeneo ya bunge upande wa pili nilikutana na dada mmoja mkali balaa yaan ni kisu balaa kitu ngoz nyeupe si unajuaga tena sisi kabila letu tunapendaga ngoz nyeupe
Mtoto alikua na vx jeusi kali hatari sikuogopa kumufata nikaomba namba nikapewa jana hiyo hiyo nikapiga mistari kitu kikaingia lain leo asubuhi nimekula mzigo kiulain sana mtoto anafanya kaz ofisi ya bunge ana mshahala mzur tu leo kanitoa 50 ya kula kaenda kazin nami nikarud gheto kulala
Saiv natumiwa msg kila dakika mara kanimis sana mara najua mambo yaan ni balaa tupu naogopa kumupeleka gheto kwangu coz mi nalala chini afu ndo niko naanza maisha
Ukweli ananizid umuri lakin mi sijali nakula vitu vizur na mtoto mzur baadae mkitaka picha nitawatumia
Polen sana masela mimi siyo mwenzenu tena shauri zenu hamunaga hata bahati ya kupendwa
Dodoma weupe 10 kwa 1 walio baki mkorogo na mdudu hakosekani pole weeNi hatar kitu cheupe balaa yaan nimekufa nimeoza sijiwez