Mi sio mwenzenu tena kwaherini wote

Nmesikia sauti yako katika huu Mwandiko wako
Unaonekana Mgonjwa Wa Akili Nanyupu
 

Akili za vijana wa Dar es salam ndio hizi. Bure bure bure. Angekuwa mbunge ningekuelewa lakini mfanyakazi wa Bunge Na wao wamechoka choka kama sisi wa kitaani hakuna tofauti. OK so, umeolewa au umeoa. Alafu unajisifu. Maisha haya!
 
Ulivaa kondomu? Kama hukuvaa nenda kapime damu kubwa maana kuna dada Dom anasambaza virus kwa bei chee...
 
Daaah kumbe milembe mpaka leo bado mnalala chini hamna vitanda,haa haa haa najua hapo utakuwa umechora picha ya vx nyeusi na mwanamke mqeupe alafu unaziongelesha
 
Kweli hali mtaani ngumu yani 50,000 tshs imekufanya uchanganyikiwe.
Nimerudia kusoma mara 3 nikahisi labda ulipewa 50,000,000 tshs.
Aisee nakuombea kwa Mola huyo dada asije kukupatia milioni moja unaweza gongwa na gari kwa kihoro utakachopata.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
mwaka mmoja na nusu tu huu vjana tumeshachanganyikiwa duuh......kweli mzee anatupeleka mpera mpera.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…