Mi sio mwenzenu tena kwaherini wote

Mi sio mwenzenu tena kwaherini wote

Hizi niakili kwelii,,,una umri gani? Unaelimu gani? Unajishughulisha na nini? Mpaka uage marafiki wa mtaani kwa elfu hamsini
 
Eheeee!!!!!!Namba imeanza kusomeka na bado tutaisoma hata kwakuvaa miwani.
 
Hahahahahaaaaa dah nimecheka sana.
Nilidhani mtu anataka kujiua nikafungua harakaharaka nije kuokoa uhai kwa ushauri kumbe....
Daaaaaamn
 
Ni juzi juzi tu sio siku nyingi nilitoka mwanza kuja dom kuchek mishe si unajua tena life sio kukaa na kukalili sehemu moja

Mambo sio mambo jana yakawa mambo mtoto wa kitaa nimekutana na bonge la zar pale maeneo ya bunge upande wa pili nilikutana na dada mmoja mkali balaa yaan ni kisu balaa kitu ngoz nyeupe si unajuaga tena sisi kabila letu tunapendaga ngoz nyeupe

Mtoto alikua na vx jeusi kali hatari sikuogopa kumufata nikaomba namba nikapewa jana hiyo hiyo nikapiga mistari kitu kikaingia lain leo asubuhi nimekula mzigo kiulain sana mtoto anafanya kaz ofisi ya bunge ana mshahala mzur tu leo kanitoa 50 ya kula kaenda kazin nami nikarud gheto kulala

Saiv natumiwa msg kila dakika mara kanimis sana mara najua mambo yaan ni balaa tupu naogopa kumupeleka gheto kwangu coz mi nalala chini afu ndo niko naanza maisha

Ukweli ananizid umuri lakin mi sijali nakula vitu vizur na mtoto mzur baadae mkitaka picha nitawatumia

Polen sana masela mimi siyo mwenzenu tena shauri zenu hamunaga hata bahati ya kupendwa
Tumshukuru aliye leta swala la kusoma na kuandika limeokoa wengi,mmoja wapo in huyu aliyepost huu ujinga,jamani labda alikuwa anaotahajijui
 
Naiombea nchi yangu rehema kwako Mungu.nikweli hatukulea vizuri watoto wetu,tumeweka tamaa mbele tumekukosea wewe peke yako,tumezini tumeiba,tumeua ndiyo maana naomba ufute maovu yetu uturehemu baba.huenda tukabadirika bwana,nakusihi usikiangamize kizazi chetu kwa ukame na magonjwa.bali ukumbuke rehema zako....aaamen.[emoji113]
Balikiwa katika bwana lakin hii siyo hadithi
 
Yakikukuta maseka hatuto kutupa usisite kitugongea fegi na viwalo...tupo hata kukuzika ukienda na umeme.....pia jaribu kuniangalizia kama ana mdogo wake wa kike bhana na mm tuunge undugu
 
Usisahau condom mkuu.

Usije ukaiaga Dunia badala ya masela.
Masela hawana roho mbaya,watamsindikiza tu katika safari yake ya mwisho. Kikubwa katika hizo 50,000/= atumie vizuri maana masela hawaachi kuuliza alizifanyia nn[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Back
Top Bottom