Black Coffee
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 1,931
- 3,177
Hizi niakili kwelii,,,una umri gani? Unaelimu gani? Unajishughulisha na nini? Mpaka uage marafiki wa mtaani kwa elfu hamsini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nimecheka hatari dah[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapa naona waliofanya tafiti na kupata ratio ya 4:1 itabidi warudi kwenye data analysis maana huenda ratio sahihi ni 4:3!
Koma jombaa ila. Afya yako n muhimu zaid unajuaPamoja sana
Umeona kiongoz
Tumshukuru aliye leta swala la kusoma na kuandika limeokoa wengi,mmoja wapo in huyu aliyepost huu ujinga,jamani labda alikuwa anaotahajijuiNi juzi juzi tu sio siku nyingi nilitoka mwanza kuja dom kuchek mishe si unajua tena life sio kukaa na kukalili sehemu moja
Mambo sio mambo jana yakawa mambo mtoto wa kitaa nimekutana na bonge la zar pale maeneo ya bunge upande wa pili nilikutana na dada mmoja mkali balaa yaan ni kisu balaa kitu ngoz nyeupe si unajuaga tena sisi kabila letu tunapendaga ngoz nyeupe
Mtoto alikua na vx jeusi kali hatari sikuogopa kumufata nikaomba namba nikapewa jana hiyo hiyo nikapiga mistari kitu kikaingia lain leo asubuhi nimekula mzigo kiulain sana mtoto anafanya kaz ofisi ya bunge ana mshahala mzur tu leo kanitoa 50 ya kula kaenda kazin nami nikarud gheto kulala
Saiv natumiwa msg kila dakika mara kanimis sana mara najua mambo yaan ni balaa tupu naogopa kumupeleka gheto kwangu coz mi nalala chini afu ndo niko naanza maisha
Ukweli ananizid umuri lakin mi sijali nakula vitu vizur na mtoto mzur baadae mkitaka picha nitawatumia
Polen sana masela mimi siyo mwenzenu tena shauri zenu hamunaga hata bahati ya kupendwa
Balikiwa katika bwana lakin hii siyo hadithiNaiombea nchi yangu rehema kwako Mungu.nikweli hatukulea vizuri watoto wetu,tumeweka tamaa mbele tumekukosea wewe peke yako,tumezini tumeiba,tumeua ndiyo maana naomba ufute maovu yetu uturehemu baba.huenda tukabadirika bwana,nakusihi usikiangamize kizazi chetu kwa ukame na magonjwa.bali ukumbuke rehema zako....aaamen.[emoji113]
Masela hawana roho mbaya,watamsindikiza tu katika safari yake ya mwisho. Kikubwa katika hizo 50,000/= atumie vizuri maana masela hawaachi kuuliza alizifanyia nn[emoji1] [emoji1] [emoji1]Usisahau condom mkuu.
Usije ukaiaga Dunia badala ya masela.