Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo bange ni ukweli mkuu kama huna bahati shauli yako
Kimagu magu iyo ela kubwa sana mkuuKweli hali mtaani ngumu yani 50,000 tshs imekufanya uchanganyikiwe.
Nimerudia kusoma mara 3 nikahisi labda ulipewa 50,000,000 tshs.
Aisee nakuombea kwa Mola huyo dada asije kukupatia milioni moja unaweza gongwa na gari kwa kihoro utakachopata.
Wewe siyo wa kunifanyia mimi hivyo, hebu lete picha hizo.Nitakutumia mshikaji wangu usiogope
Kweli mkuu mtaani watu wame loose matumainuKimagu magu iyo ela kubwa sana mkuu
Sana yan njaa kal kchzKweli mkuu mtaani watu wame loose matumainu
Na mtu ukimpa mkopo ndiyo mwisho wa kumuona..Sana yan njaa kal kchz
Me nko upande wako aiseeSiyo bange ni ukweli mkuu kama huna bahati shauli yako
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] ,you made my day. Na leo biashara ilivyo ngumu nimecheka hadi machozi.Hapa naona waliofanya tafiti na kupata ratio ya 4:1 itabidi warudi kwenye data analysis maana huenda ratio sahihi ni 4:3!
anapokea mshahara mzuri? hahaha pole sana, ana waume wenzio rundo, wabunge, madereva wa wabunge, kila takataka ni za kwake, jiandae kugawana ngoma manake huko serikalini usijeona watu wameulamba, vidudu vimewajaa mwilini. mmepima?mtapima?Ni juzi juzi tu sio siku nyingi nilitoka mwanza kuja dom kuchek mishe si unajua tena life sio kukaa na kukalili sehemu moja
Mambo sio mambo jana yakawa mambo mtoto wa kitaa nimekutana na bonge la zar pale maeneo ya bunge upande wa pili nilikutana na dada mmoja mkali balaa yaan ni kisu balaa kitu ngoz nyeupe si unajuaga tena sisi kabila letu tunapendaga ngoz nyeupe
Mtoto alikua na vx jeusi kali hatari sikuogopa kumufata nikaomba namba nikapewa jana hiyo hiyo nikapiga mistari kitu kikaingia lain leo asubuhi nimekula mzigo kiulain sana mtoto anafanya kaz ofisi ya bunge ana mshahala mzur tu leo kanitoa 50 ya kula kaenda kazin nami nikarud gheto kulala
Saiv natumiwa msg kila dakika mara kanimis sana mara najua mambo yaan ni balaa tupu naogopa kumupeleka gheto kwangu coz mi nalala chini afu ndo niko naanza maisha
Ukweli ananizid umuri lakin mi sijali nakula vitu vizur na mtoto mzur baadae mkitaka picha nitawatumia
Polen sana masela mimi siyo mwenzenu tena shauri zenu hamunaga hata bahati ya kupendwa
Vyabure vinaua acha asikwambie MTUNa mtu ukimpa mkopo ndiyo mwisho wa kumuona..
hii ninayokupa mwanangu ni hali halisi
ndani ya magu land masela tunavyoishi.
Nimemkumbuka mike T na ngoma yake ya nyalu land aisee
Mpaka 2020 itafahamika who is the last man standingVyabure vinaua acha asikwambie MTU
We usawa huu upewe Pesa kipuuzi AF uinue miguu juu uchekelee
Ni juzi juzi tu sio siku nyingi nilitoka mwanza kuja dom kuchek mishe si unajua tena life sio kukaa na kukalili sehemu moja